CUF nao wana mambo!!!

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,027
Jana cuf walikuwa na mkutano wao maeneo ya kigogo luanga kwa bit-kaenga, huwa mara zote wanatoa upupu kwenye vichwa vya watu kuhusu ccm, wanaichachafya sana ccm....sasa jana nilicheka kwa hiki kioja, mara zote wanamshutumu mgombea udiwani ccm kata ya hapa luanga ni mlevi kupindukia, kila siku anarudishwa kwao hajitambui, ni malaya kupindukia na alishampaga mimba mtoto wa shule....sasa jana walikuja na ushahidi wa ile picha ya huyo mtoto ambae mgombea wa ccm alimpa mimba na aliachishwa masomo lakini ccm walihonga kwa mwalimu mkuu na huyo mtoto akarudi shule baada ya kujifungua.....vituko uchaguzi wa mwaka huu...mh yangu macho
 
Back
Top Bottom