Cuf makao makuu yaagiza wabunge wao wote kusaini waraka wa zitto kabwe

Mtatiro najua huyu Pinda alifanikisha sana harakati za HR kuivuruga CUF, am I wrong?
 
Nawaambia hawatafanikiwa hiyo ni story kama nyingine zinazotokeaga tanzania siitofautish na story ilokuwepo ya dowans richmond kagoda na meremeta pia buzwagi ,huwa sioni wabunge wanafanya nini bungeni wanashindwa kuiwajibisha sirikali kwa maovu wanayotufanyia tena kaeni kimya mmeshindwa yale ya dowans mtaweza haka kakes kadogo
 
Huyu mtatiro anapima upepo..vp huko kuna ubwabwa? Mean IKWIRIRI.ccm+cuf=4rever in luv
 
Ikiwa hivyo ni good start but tunafaham kuwa aliyeshiba hamjui mwenye njaa.
 
Mie hata siamini,maana CUF ni mke halali wa CCM,sasa wewe unadhani mke atamsaliti mumewe.Hawa CUF ni wanafiki na kama hamniamini subiri mtaona.
 
Back
Top Bottom