Amiliki
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,085
- 1,004
Hawa Jamaa zangu walinifurahisha sana jana waliposusia bunge na kuamua kutoka nje kupinga maelekezo ya Spika aliyowataka wasubiri kwanza ili wapate taarifa kwanza za ajali ndipo wapange cha kufanya.
CUF, kama Mke wa Mabwepande, wamekuwa wakitoa maneno ya kejeli sana hasa pale, CDM walipokuwa wanaamua kutoka nje ya Bunge ili kupinga jambo ambalo wanaloliona kwamba haki haitendeki na kuendelea kukaa ni sawa na kubariki ufe-dhuli huo. CUF walikuwa wanatoa matamko ya kuilaani CDM kwa kutokufuata kanuni za Bunge ambazo haziruhusu wabunge kutoka na kususia kikao cha Bunge, bali waendelee kukaa kwa kuwa hawaruhusiwi na kanuni kususa.
Je kilichotokea jana, ni kwamba zile kanuni zimebadilishwa ama!