CUF: Kutoka nje Bungeni, si kukiuka kanuni za Bunge?

Kumbe ukitaja CUF unamaanisha Zanzibar? basi pole zao Pro. Lipumba na Mtatiro hawajui wako kwenye kapu gani.

Inategemea fault imehusika na nani ? Inaweza kuwa switch au bulb ! Lakini vyote vifaa vya umeme.
 
QUOTE=Chakaza;4269991]Kumbe ukitaja CUF unamaanisha Zanzibar? basi pole zao Pro. Lipumba na Mtatiro hawajui wako kwenye kapu gani.[/QUOTE]
Kwani ulikuwa hulijui hilo mkuu! Inawezekana hujajua pia kwamba Wanacheo ambacho si rasmi, cha Mfalme. Ndio maana Maalim Seif akisema mguu kando! Mguu rejesha! Hakuna anayeuliza, lazima wote wafuate. Masikini Hamad Rashid hakulijua hili, akauliza.
 
QUOTE=Chakaza;4269991]Kumbe ukitaja CUF unamaanisha Zanzibar? basi pole zao Pro. Lipumba na Mtatiro hawajui wako kwenye kapu gani.
Kwani ulikuwa hulijui hilo mkuu! Inawezekana hujajua pia kwamba Wanacheo ambacho si rasmi, cha Mfalme. Ndio maana Maalim Seif akisema mguu kando! Mguu rejesha! Hakuna anayeuliza, lazima wote wafuate. Masikini Hamad Rashid hakulijua hili, akauliza.

Chama lazima kiwe na mkuu anaesikilizwa ,hata jeshini amri inayofuatwa ni ya mkuu ,hamuwezi mkaendesha Chama mkawa kama sisimizi mliopotea njia.
 
Kwani huu msiba ni wa CUF peke yake Chadema hawahusiki? Watanzania tuache ushabiki wa kisiasa kwenye majanga.
 
Tatizo ikizungumzwa CUF wengine mnapoteza akili na fahamu kuwapotea.

Misimamo ya CUF ni ngangari ukilinganisha hiyo ya mashoga wawili mmoja kavaa kaki mmoja nguo yake kaipaka kijani,na tunapowaambia kwaherini basi jaribuni kuelewa dalili zake.WaZanzibari wakitoka bungeni wanapo pa kwenda ,hivi nyie mkitoka mnapo ? Lazima mtarudi tu !
mngekuwa mnapopakwenda msingekubali kudai nchi ambayo tayari mnasema ni ya kwenu huku mnaidai,na kama mnapakwenda mngeendelea kukaa blw.watumwa ninyi.
 
bahati mbaya huyo mkuu kashaolewa na cheo kashahongwa'' kimya'' utafikiri sio yeye,sasa hivi kabaki na ndevu tu.
 
sasa kati ya cuf au cdm ni nani aliyeolewa na cdm kuna watu humu hawajijui wanaropoka ropoka tu.kweli nyani haoni pakunyea pake.
 
tatizo ni kwamba wabunge wengi wa cuf wamesoma zaidi elimu ahera ndio maana uelewa wao wa mambo ya kidunia ni mdogo sana.sasa wakati wanatoka wangekuwa na akili nzuri wasingeburuzwaburuzwa mara kwa mara ikiwa ni pamoja na kukubali kuolewa ili mama yao seif apate umakamu.wajinga ndio waliwao.
 
Hizi sasa Kashfa, acheni hizo.
 
Kwani huu msiba ni wa CUF peke yake Chadema hawahusiki? Watanzania tuache ushabiki wa kisiasa kwenye majanga.
Ritz ile ajali ilikuwa ya Watanzania wote na sio ya CUF na Chadema tu, lakini kama ulivyosema, Watanzania tunaweka ushabiki na masilahi ya kisiasa kwenye kila kitu, hata kwenye majanga. Kuna mifano mingi humu jukwaani anapopata ajali au kifo wa chama kimoja, wa chama kingine bila aibu hufurahia, "Bora amekufa," "Acha wafe wote"...zimekuwa nyimbo za kila siku. Nimewahi kuwakemea wenye tabia hizo humu.

Juzi bungeni "wao, "wapinzani" walipotoa hoja kuahirishwa kikao kwa janga lile sio tu hoja ilikataliwa bali ikajibiwa kwa kejeli "Labda kama hii ajali ingetokea Chamwino mngekwenda kuchangia damu." Muda mdogo baadaye hoja hiyo hiyo ilipotolewa na asiyekuwa mpinzani ikakubaliwa, bunge likaahirishwa siku moja, posho za kikao na ndege vikapelekwa Zanzibar, kwa nini tena na ajali haikutokea Chamwino?

ONYO: Watanzania tunaelekea siko. Ikiwa leo vifo vya wengine vinatufurahisha, itafika siku tutatoana roho kwa makusudi ili kujifurahisha au kutoa pigo kwa wengine.
 
Last edited by a moderator:
Raya ibrahimu yule mbunge wa chadema naye alitoka nje? CUF ni kidume cha siasa Tanzania wengine wanafuata.
 
Ritz ile ajali ilikuwa ya Watanzania wote na sio ya CUF na Chadema tu, lakini kama ulivyosema, Watanzania tunaweka ushabiki na masilahi ya kisiasa kwenye kila kitu, hata kwenye majanga. Kuna mifano mingi humu jukwaani anapopata ajali au kifo wa chama kimoja, wa chama kingine bila aibu hufurahia, "Bora amekufa," "Acha wafe wote"...zimekuwa nyimbo za kila siku. Nimewahi kuwakemea wenye tabia hizo humu.

Juzi bungeni "wao, "wapinzani" walipotoa hoja kuahirishwa kikao kwa janga lile sio tu hoja ilikataliwa bali ikajibiwa kwa kejeli "Labda kama hii ajali ingetokea Chamwino mngekwenda kuchangia damu." Muda mdogo baadaye hoja hiyo hiyo ilipotolewa na asiyekuwa mpinzani ikakubaliwa, bunge likaahirishwa siku moja, posho za kikao na ndege vikapelekwa Zanzibar, kwa nini tena na ajali haikutokea Chamwino?

ONYO: Watanzania tunaelekea siko. Ikiwa leo vifo vya wengine vinatufurahisha, itafika siku tutatoana roho kwa makusudi ili kujifurahisha au kutoa pigo kwa wengine.[/FONT][/SIZE]
MAMMAMIA, Kuahirisha Bunge haikuwa Ihari yake Bibi Kiroboto au Nchimbi, pale walishajiona wamebaki Mabwepande peke yao hawana wa kubishana nao kijinga ndio maana ikawalazimu tu nao kujifanya eti wamepata Uchungu wa msiba. Sijui ni kwanini Lusinde hakukumbuka kuwaambia wenzie kama wanaona uchungu, basi wakazae!
 
MAMMAMIA, Kuahirisha Bunge haikuwa Ihari yake Bibi Kiroboto au Nchimbi, pale walishajiona wamebaki Mabwepande peke yao hawana wa kubishana nao kijinga ndio maana ikawalazimu tu nao kujifanya eti wamepata Uchungu wa msiba. Sijui ni kwanini Lusinde hakukumbuka kuwaambia wyenzie kama wanaona uchungu, basi wakazae!
Yote haya tunaweza kuyaelezea kwa neno moja tu, UDHAIFU!
 
Kidumu chama cha mapinduziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Zidumu milele fikra sahihi za mwenyekiti wa ccmmmmmmmmmmmmmm
IDUMU SIASA YA UJAMAA NA KUJITEGEMEAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

wanabodi,hata kimya ni jibu na ni kweli kabisa kuwa hakuna mahakama ya juu zaidi ya mahakama ya wananchi.

Kwa muda sasa wabunge watetezi wa matataizo ya wananchi bungeni,wabunge wa upinzani hasa cdm wanapoibana serikali ya ccm na baada ya ccm kugundua janja yao kiti cha spika kimekuwa kikitumika kuipendelea serikali badala ya kuisimamia kwa manufaa ya wananchi na kupindisha kwa makusudi kanuni za bunge na kuonyesha dhahiri shahiri kuwaonea wapinzani wao kisiasa.

wapinzani wanapokataa kuburutwa hutoka nje ya mjengo au kutolewa nje na kiti,hivyo ccm kupitisha hoja zao kwa ulaini sana na kuwaachia wananchi maumivu,hivyo wameshagundua ili wapitishe hoja zao wapendavyo basi huzua jambo ili mradi tu wapinzani watoke nje ili waanze vijembe na kuacha kabisa kujadili miswada na kupitisha hoja zao hata kama akidi haijatimia.

Uahauri wangu,pamoja na kuwa hiyo ni njia moja wapo ya kufikisha ujumbe lakini bado haitoshi maana wanapotoka nje wenzao hupitisha hoja zao.hivyo wapinzani watafute njia nyingine bora zaidi kuliko hiyo.

naomba kuwasilisha kwa maoni na ushauri zaidi.
 
Napendekeza next time wao ndiyo wamburuze Speaker kutoka kwenye kiti na kumtoa nje!
 
kidumu chama cha mapinduziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
zidumu milele fikra sahihi za mwenyekiti wa ccmmmmmmmmmmmmmm
idumu siasa ya ujamaa na kujitegemeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

wanabodi,hata kimya ni jibu na ni kweli kabisa kuwa hakuna mahakama ya juu zaidi ya mahakama ya wananchi.

Kwa muda sasa wabunge watetezi wa matataizo ya wananchi bungeni,wabunge wa upinzani hasa cdm wanapoibana serikali ya ccm na baada ya ccm kugundua janja yao kiti cha spika kimekuwa kikitumika kuipendelea serikali badala ya kuisimamia kwa manufaa ya wananchi na kupindisha kwa makusudi kanuni za bunge na kuonyesha dhahiri shahiri kuwaonea wapinzani wao kisiasa.

Wapinzani wanapokataa kuburutwa hutoka nje ya mjengo au kutolewa nje na kiti,hivyo ccm kupitisha hoja zao kwa ulaini sana na kuwaachia wananchi maumivu,hivyo wameshagundua ili wapitishe hoja zao wapendavyo basi huzua jambo ili mradi tu wapinzani watoke nje ili waanze vijembe na kuacha kabisa kujadili miswada na kupitisha hoja zao hata kama akidi haijatimia.

Uahauri wangu,pamoja na kuwa hiyo ni njia moja wapo ya kufikisha ujumbe lakini bado haitoshi maana wanapotoka nje wenzao hupitisha hoja zao.hivyo wapinzani watafute njia nyingine bora zaidi kuliko hiyo.

Naomba kuwasilisha kwa maoni na ushauri zaidi.

ondoa wasi wasi mkuu,,vyama vya upinzani vipo makini sana na ndio maana vimeamua kuungana pamoja na kuondoa tofauti zao,,,,wao wanapitisha muswada kwa hoja za matusi,,kejeli na lugha za ovyo ovyo,,,nguvu ya umma ndio mwiba wa mbinu zao zote wanazofanya bungeni,,,,,,,,
 
Back
Top Bottom