Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

Nitaoa kweli mimi?!?!? Mbona ni vitisho vya hali ya juu kwa sie tunaotarajia kuingia kwenye ndoa.
 
Wewe huwezi kumuacha wakati yeye amekuacha tayari, mpende akupendaye asiyekupenda achana naye, wewe unachukuliwa uwanja was ugenini jamaa ndo uwanja wa nyumban, na makosa uliyafanya mwanzo kumgangania asiyekupenda .Kama unaona huwezi muacha acha kumfuatilia mambo yake endelea kuamin hajawah kukusalit.
 
Pole sana ndugu yangu

Inaonyesha ni kwa kiasi gani umvumilivu,,, pia ni kwa kiasi gani unampenda mke wako,

Story yako ya jinsi ulivyo mpata mke haina tofauti kabisa na ya kwangu,,,

Ushauri,

Kwasababu unampenda sana mkeo na unaushahidi amekucheaat na unaamini anacheat na mwanaume mmoja,narudia yaani ana cheat na mwanaume mmoja tena unamjua so nasababu ya kucheat kirahisi unaijua,,
Nenda hotelini chukua zile footage za video(lazima uhonge kidogo),Mwite jamaa na mkeo,,najua itakua ngumu ila hata wavizie wakiwa pamoja aamana lazima watakutana,,chukua na ushahidi mwinginine wowote unao onekana sio here say,,

Usipanic panga ushahidi wako kutokana na uzito wake,,then anza kuwaelezea mkiwa watatu tu,,narudia watatu tu,,
Mwisho mwambie jamaa this is my wife,,ningeamua kukuawa ningekuuwa that day hotelini,, this is my first and final warning the sepa,,nakuhakikishai hata do tena na huyo mwanaume na wala jamaa hatarudia
Ila kama mkeo anavidume wengine pembeni pls achana nae,,,,
Tupe na ya kwako mkuu nasi tujifunze kitu mkuu
 
Kabla hujalala naomba nikushauri kitu/vitu

Ulijua mumeo anafanya mambo yasiyofaa kuchepuka kutokukuhudumia n.k lkn je ulichukua hatua gani? Ulienda kushtaki kwa wazazi? Viongozi wa dini je? Au mlikaa mkazungumza mkakosa suluhu? Au uliamua kurudi kwa ben?

Kabla hujaendelea na maamuzi yako jaribu kumfikiria mtoto wenu sam. Uko tayari alelewe na mama / baba wa kambo wakati wazazi wote mpo hai? Kweli mtoto akose upendo na malezi ya mzazi mmoja kwa sababu tu ya furaha yako?

Kama huyo ben alikucheat na leo willy kakuchit, huoni kama wanaume wote sawa? Je hayo unayoyakimbia kwa willy, kwa ben hutayakuta?

Kumbuka huwez shindana na mwanaume hata siku moja. Simtetei willy hapana ila napenda tu uangalie mbele, angalia maisha ya mwanao ya baadae. Uamuzi wa leo utakuja kuona madhara yake baadae wala sio leo

Pia kumbuka mwanamke ndio anajenga nyumba yake. Ninachokuomba utafute suluhu. Mkae na kusuluhisha hayo mambo yenu naamini yataisha na willy atajirekebisha.

Wakati mwingine unaweza kumlaumu mwanaume kwa anayoyafanya lkn kumbe kalishwa vitu huko anakohangaika na anashindwa kujinasua. Muombee mumeo pia. Muweke mikononi mwa Mungu. Mnenee mema na kumfunika kwa damu ya Yesu kila anapotoka nyumbani asbh.

Inawezekana pesa ndio imemlevya mumeo ukijumlisha na marafiki wasio faa ndio wanampoteza analowea kwny starehe na uzinzi. Jaribu kumsaidia ilinakae kwny mstari na sio kumkimbia. Kumkimbia sio solution. Ni hayo tu sasa
Wanawake kma wewe wamebaki makumbosho ya taifa hongera kwa busara hii
 
Kama umesoma nyuzi ukawa una noti kila kitu

Ukaja kwenyr majib alokua anayotoa kwa wachangiaji.

Ukaja kwa majibu ya Demu

Ukaja kwa majibu ya demu kwa wana JF.


UTAKUBALIANA NAMM 100% KUA JAMAA NDIO HUYO HUYO DEMU.


Ukweli ni kwamba, Huyu JAMAA KESHAACHANA NA MKE WAKE , ILA ANATAFUTA "HURUMA" IAKAYOMPELEKEA APIGE NDEGE WAWILI KWA JIWE MOJA.


KWAUFUPI KAMA UMESOMA VZUR, JAMAA ANAJICHANGANYA KICHIZI.
Mkuu mbona umekomaa sana ina kuathiri nn wewe si upige kmya au ndio na wewe unatafta popurality uonekane GT? Usitemgee kila kitu kilicho ongelewa humu ni ni kweli wewe chukua unayo amini usiyo amini achana nayo kama huamini yote achana na thread yote mbona simple tu
 
Noo demi, unajua nn... Wengi wamechukulia hii kitu kama ilivoandikwa.

Ila nakuhakikishia ili. Kama umesoma kila kitu. Ukaruhusu fikra zifanye kazi.

Utagundua kua huyu ni mtu mmoja .


MWANAMKE AMEJUAJE KUA HUU UZI NI WAKE???

KAMA ALIKUA HUMU JF, KWANN AKAE MPAKA USIKU NDO AJIBU???

KUNA MAAL AANSEMA DEMU KAAMBIWA NA MARAFIKI ZAKE SIJUI NA BEN...JE DEM ANAMARAFIKI HUMU????
JE BEN YUPO HUMU???

JE MARAFIKI HAWA NA BEN, WALIJUAJE HII STORY NI DEM??? ILIHALI MAISHA NIYALE YALE????

JAMAA ALISEMA ,KAFICHA ID YAKE KULINDA KAZI SIJUI NAKUJULIKAAN...JE KWANN ATUMIE JINA LA WILLY, AMBALO DEMU ANASEMA NDIO JINALAKE ALISI????

Je Hao walompa Taarifa demu. Walijuaje kua Willy, ndio mume wa demu ndio ba samu mpaka wampe taarifa????



KWAAKIL YAKO TU YAKAWAIDA..... UNAHIS KUNA MWANAMKE ALOOLEWA AMBAYE ANAFANYA UJINGA, ANGEKUJA KUJIBU MAJIBU YA OVYO KM HAYA ALOTOA??? TENA MWANAMKE MSOMI???

et mwanamke anasema..:"byeeeeeeee asante kwa kunipa mtotozuri:"


NINAKATAA KATAKATA KWA NGUVU ZANGU ZOTE KUA HAWA NI MKE NA MUMEWE

NINAKUBALI KWA AKILI YANGU YOTE KUA HUYU NI MTU MMOJA.


Sikwenda Medical School kwa Bahati mbaya.
Na wewe ndio wale wale wapenda sifa sasa hio medical school imefikaje humu ili uonekane msomi au?
 
.....Andaa mtego wa kumnasa,akinasa wajuba wanamla ndogo,then piga wife chini.....bado dogo sana wewe usijitie mapresha yasiyo mpango,maana huko mbeĺe atakwambia pia mtoto si wako ili akuchanganye zaidi.
 
Mkuu kuna jambo naomba niongeze hapa.

Huyu The woman ni
1. Muajiriwa Ofisi flan, maana yake ana watu anaowaheshimu na wanaomuheshimu pia ofisini. Ambao wameshasoma story ya mumewe (amesema amekuwa gumzo ofisini)

2. Ni mama mwenye kufahamu maana ya neno mama (alieenda leba)

3. Ni muumini wa dini, (ameongea kuhusu kanisa) hivyo hata kwenye jamii anayo heshima pia.

Kitendo cha yeye kukiri kupanga kufanya threesome na mchepuko wake, (yaaani wanawake wawili na mwanaume mmoja)
Hadharani bila kujali watu wa aina tatu niliowaainisha hapo juu, bila kujali heshima yake ofisini, kanisani, na nyumbani. Inaonesha kabisa mwanamke huyu ni Malaya na hana mshipa wa aibu.


Imagine, Ofisini wake wanajua huyu mwanamke anafanya threesome and she doesn't care about her reputation, then she is a monster.

Hakuna haja ya kumshauri Willy's ushauri mwingine zaidi ya kuachana na huyu mwanamke!

Willys, For your own future achana na huyu kiumbe
Naomba kufahamu...watu wa ofisini kwake wamezijuaje habari za threesome?
 
Aisee hii ngoma ngumu kumeza,huyo mwanamke kwakuwa anampenda jamaa wa zamani ata ukimwambia umewashtukia atakachofanya ni kubadili mbinu za kuchiti anaweza ata kununua simu nyingine iwe inafichwa kwenye ndoo ya mchele.Mwanamke akipenda huwa anapenda kweli na anaweza kufanya chochote kumfurahisha ampendae.Jamaa siku akimwambia akuwekee sumu ili ufe wawe free waenjoy hashindwi.Ushauri wangu jikaze umuache huyu mwanamke utakuja kufa kabla ya siku zako.
 
Inaonekana walisoma huu Uzi ndio wakampa huyu bidada habari, hata ID ya huyu Dada ni mpya!
Mmh haiingii akilini. Yaani mtu asome using ajue ni Fulani anaongelewa. Ina maana maisha ya Hawa watu yapo wazi kwa watu wengi hivyo?
 
Mke lazima ajue na amejua. Angalia post za nyuma amejibu. Bidada kasema Huu uzi umemtia aibu kazini or something like that. Nachojiuliza huko kazini wamejuaje kuwa Huu uzi unaomuhusu yeye?
Kuna watu wamecomment huko juu kuwa huyo A woman na Mtoa uzi ni mtu mmoja... Jamaa sijaona akijibu hizo tuhumaa..
 
Nisiposema chochote nitaitesa nafsi yangu.... sikutegemea mkewe wangu angekuja nijibu chochote humu sbb najua hua hatumii jf na sikutegemea things could get this worse and nasty. Kwa yote aliyoyasema sihitaji kujibu chochote either kukuanusha wala kukibali. siko tayari kwa malumbano yoyote na mke wangu. Niawshukuru kwa ushauri wenu na kunipa faraja. Still nampenda sna wife naye anajua hilo. Nitazidi tafuta njia bora zaidi za Kumaliz hili tatizo. asanteni na sorry kwa usumbufu mlio
Safi sana mkuu
 
As for me nachoweza kushauri kwanza kuhusu likizo usiruhusu aende, kama unajikidhi kifedha mkatie ticket ya ndege mpelek Zanzibar au SA n very cheap xana apige mapumziko ya kutosha, then kuhusu huyo mwanamume mchane live mkeo ajue unajua ukweli, yawezekana alikuoa kwasabb alikuw stressed and note loving you,... So sit down with her tell her listen into her answers, ur a man h ready her mind, muuliz anawez achan na huyo bwana? Na je jamaa anajua kuwa ameolewa??
Kumpotez sio rahis ila kukubali majibu ya mkeo ndo ugum ulipo
All the best
 
Mke lazima ajue na amejua. Angalia post za nyuma amejibu. Bidada kasema Huu uzi umemtia aibu kazini or something like that. Nachojiuliza huko kazini wamejuaje kuwa Huu uzi unaomuhusu yeye?

Na kama kweli watu wa kazini wanajua kuhusu huu uzi angekanusha kuhusu threesome, hakuna mtu anayetaka aibu ya kuonekana anafanya kitu kama hicho.

Naweza kuamini kuwa ID ya mke na ID ya Mume ni mtu mmoja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom