Criminals in the street! Hii Maana yake Nini? Au ndo Uhalifu waziwazi..

JayK

Member
Feb 3, 2012
34
33
Hii nimekutana nayo mitaa ya kinondoni asubuhi ya leo.
Gari hili inaonekana registartiona namba yake halali imefunikwa kwa kubandika hii juu yake.
Kwenye kii inasomeka namba T925AGP
Nimejiuliza yafuatayo sijapata jibu.
1. Je jamaa alitoka kufanya tukio usiku akasahau kuzitoa?
2. Ama ndo anaelekea kufanya tukio
3. Mbona kajiamini sana anatembea barabarani tena kwenye foleni
4. Afu hawa trafik police wetu wanaangaliaga nini..
manake tulipita kama watano hivi hakuna hata mmoja alieshtuka..

Kama kuna afande anaefanya kazi yake humu ndani basi hii inatosha kwa kuanzia upelelezi...

Cheers IMAG0574.jpg IMAG0575.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom