Creating a website

mmakonde

JF-Expert Member
Dec 26, 2009
965
66
For fun ,najaribu kutengeneza website kutumia html.
Nataka iwe na page say 5!
Code muhimu za html nimesoma online na baadhi za CSS.
Licha ya kusoma about a href code,sijajua vipi his webpages nitazilink kufanya website.
Je "a href" itakuwa sehemu gani ya page ya kwanza ili kulink page ya pili na kadhalika?
 
heb tufanye hivi izo page zako zote tufanye 5 utakuwa umezisave zote kwenye directory(folder) moja. Yaani page zako zote zinatakiwa ziwe kwenye folder moja. Then kuzilink hizo page just tumia hiyo syntax ya <a href = "jina la page unayotaka kuilink"> jina la link <a/>. Unaweza kuogneza idadi ya link.
 
Kama html inakuzingua tumia dreamwever nirahisi sana!ila html ninzuri hasa ukiijua kutumia code <a href="google.com"></a><br> unanza nyingine unaseve unaenda ktk index yako unfungua na brws ya IExpr6-7-8-9 ukifugua unareferesh tayari link yako.
 
Back
Top Bottom