CRDB mlilenga nini?

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,375
Yale mabasi TATA ya watoto wa shule siyaoni kwetu,hivi mlilenga route zipi na watoto wa shule zipi? Mlishafuatilia kuona kama kweli yanasaidia?je yana ratiba maalum au yapoyapo tu? Hebu niwaulize...hivi mliyalipia ushuru?
Au mmeamua kuwa akina A1 outdoor mnatangaza Junior Accounts bila advertising fee? Tena ni mobile signboard moving around municipal zote..
Kama ipo okay benki nyingine mbona hamuongezi?mtuwekee hadi feri na mengineyo?
 
Back
Top Bottom