muhamar Gadaf
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 1,057
- 1,002
Mimi natumia card ya NMB visa niko sehemu hakuna ATM za NMB na amua kuingia ATM ya CRDB .
Baada ya kuingiza card mtandao unakua unasumbua sumbua.... kadi inamezwa Nafuatilia kadi yangu kwenye tawi la benki Eti naambiwa kadi ya NMB ikimezwa kwenye ATM za CRDB huwa hawarudishi kwa mteja husika.
Hili jambo sio sawa.
Ni unyanyasaji wa kishamba