CRDB hii sio haki kabisa

muhamar Gadaf

JF-Expert Member
Jul 5, 2017
1,054
994
Mimi natumia card ya NMB visa niko sehemu hakuna ATM za NMB na amua kuingia ATM ya CRDB .

Baada ya kuingiza card mtandao unakua unasumbua sumbua.... kadi inamezwa Nafuatilia kadi yangu kwenye tawi la benki Eti naambiwa kadi ya NMB ikimezwa kwenye ATM za CRDB huwa hawarudishi kwa mteja husika.

Hili jambo sio sawa.

Ni unyanyasaji wa kishamba
 
Na wewe kwa nini hukutumia wakala? Au kujihamishja hela kwenye simupesa yako?
Maokoto makato problem I think kwenye ATM makato sio km kwa Wakala au labda alipokua hapakua na Wakala Ila NMB Visa Card inaingia ATM yoyote na Pesa unatoa
 
Kuna haja pia benki zetu waondoe gharama za kutumia ATM ya benki nyingine hasa pale unapojaribu kutumia benki yako ukakumbana na tatizo.

Huwezi kushindwa kunipa huduma halafu bado ukafaidika kwa mapato ya ziada Kwa kunilazimisha kutumia ATM ya benki wenzako.

Ni misaligned incentives. Wenzetu ATM zililetwa kupungiza gharama za uendeshaji wa benki, pamoja na kuboresha huduma kwa mteja. Sisi tumeifanya chanzo cha mapato.
 
Back
Top Bottom