CRDB Bank Kibaha huu ni Ujinga

getrusa

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
2,150
1,812
Nipo Bank zaidi ya masaa matatu tunasubiri kuhudumiwa na teller mmoja tu madirisha Mengine yote hayana wahudumu, baada ya Malalamiko unaambiwa muone Meneja wa tawi meneja wa
20190420_111327.jpeg
 
Bora huko nenda Tabora na Mpanda Katavi, utajuta kuzaliwa. CRDB hawajali wateja siku hizi.
 
Hao CRDB wamezidiwa wateja ,inabidi muanze kutafuta bank nyingine
 
Benki ya ajabu sana, ukiomba Benk statement ya hela yako ya e.g miezi 6 unachajiwa zaidi ya elfu 12.
 
Huna haki kisheria kupiga picha bank hall na kuirusha mitandaoni regardless of how strong your grievances are. Mkono wa sheria unakuhusu na siku hizi ID za watu JF zinatolewa sana tu kwa sababu za usalama. Take care sio kila kitu cha kupiga picha ka kupost.
Nipo Bank zaidi ya masaa matatu tunasubiri kuhudumiwa na teller mmoja tu madirisha Mengine yote hayana wahudumu, baada ya Malalamiko unaambiwa muone Meneja wa tawi meneja wa tawi saa nzima hayupo ofisini kwake.!
Hivi kwa utaratibu huu tunataraji kweli kuwa na maendeleo? Unakaa kwenye foleni masaa matatu ukihitaji huduma ya benki?View attachment 1076387
 
Bahati mbaya malalamiko yako yataishia hapa hapa JF...kama chozi la samaki baharini
 
Huna haki kisheria kupiga picha bank hall na kuirusha mitandaoni regardless of how strong your grievances are. Mkono wa sheria unakuhusu na siku hizi ID za watu JF zinatolewa sana tu kwa sababu za usalama. Take care sio kila kitu cha kupiga picha ka kupost.
Yamkini sina haki kisheria kutupia picha vipi kuhusu huduma bora nayo pia sina haki.? Huo mkono wa sheria unawahusu wateja tu na sio wale wanaotupotezea muda?
 
Nipo Bank zaidi ya masaa matatu tunasubiri kuhudumiwa na teller mmoja tu madirisha Mengine yote hayana wahudumu, baada ya Malalamiko unaambiwa muone Meneja wa tawi meneja wa
Nilishakimbia hizo bank zenye 'wateja wengi'
 
Crdb kijitonyama

Yaani huduma mbovu kuanzia customer service hadi kwa teller

Kukaa one hour kusubiri huduma haswa mchana ni kawaida maana sio jambo la ajabu kukuta mtoa huduma kuwa mmoja tu

Usirogwe unangia saa tisa utakaa mpaka branch inafunga

Huduma mbovu mbovu mbovu
 
Kawaida yao hapo mkuu na kuna mdada mweupe hivi weemajibu yake sasa utazani mmegombana kumbe wala hamjuani
Nenda pale Premier branch PPF Tower Posta..kuna cashier ana sura ngumu na hajawahi kumkenulia mtu tangu nimjue...sijui kwa nini habadilishwi
 
Equity bank hata mkiwa wateja wawili kwenye foleni lazima mtakesha ..sijui wanakwama wapi hawa watu
 
Back
Top Bottom