Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,263
- 7,397
nyie kupewa tenda ya kusambaza mishahara yetu imekuwa NONGWA? tabia ya kuwawekea kwanza hela wafanyakaz walio na akaunti benki yenu halafu wa benki nyingne mnawakea baada ya siku mbili au tatu ni kuwafanya watu wafikiri benki zao zina matatizo!!
mfano jana ijumaa kuu mmewawekea hela walioko CRDB wengne mnatuambia mtaweka siku ya kazi kwa kuwa leo ni jmosi! hapa mnamaanisha hela yetu mtatuwekea j4 je kama sio kukomoa ni nini?
nawalaani sana nyie mnaofanya sikukuu tuione mbaya na kuifanya SERIKALI ya JPM kuonekana haiwajali wafanyakaz wakat nyie CRDB ndo mnaotukomoa!
xmas mliweka hela usiku wa tarehe 24 saa 7 je hyo ilikuwa siku ya kazi?
ifikie wakati serikali muwe mnaangalia na benki za kufanya nazo kazi!
ndio maana nlihamaga na hlo libenki kwa sababu ya usumbufu! mbakiege na hlo li CHINA DESK lenu muanufaishe wachina wenu hao!