Crazy things you did in secondary school

Wakati wa uji vyombo vilikuwa SADOLIN, kuna jamaa namkumbuka na sadolin lake lililokuwa limeandikwa DON'T SPY ME. jamaa anajaza na kumaliza peke yake.
hahahahaha Mkuu umenkumbusha mbali sanaaa na mimi nilikuwa na langu la omo yan n full kujipmia tyu
 
Sisi pale mrike sec moshi
tulikua tunacheza kamari ya kupiga nyeto yaani tuna changa mia mia watu kati ya watano mpaka kumi tuna kaa kati na mafuta yetu picha washabiki wana kuwepo bweni zima tuna hesabu mpaka tatu halafu tunaanza atakae anza kutoa ndio anachukua hela yote kuna watu walikua wamezoea mpaka nanihi zijbwa nyeusiii kama sugu vile
Uwiii hahahha wanaume nyiee hamfaiiii shule za wasichana hawawezi fika huku aisee
 
hivi shule za girls nayo wanakuwaga na makundi(kuwa na majina yao na chata),sisi tulishindikana shuleni kwetu enzi hizo kupiga chata zetu,uzuri tuliowakuta walikuwa na vikundi vyao,sisi tulikuwa kundi la watu kama 15,mguse mmoja uone mziki,halafu wengi wanakuwaga wahuni na walioshindikana either wavuta ganja au walevi,sisi tulijitenga na wengine kulikuwa na kacumba kadogo cha watu 16 ndani hostel,tulijichagua na kujipnga wenyewe.

Mhhh sio rahisi watt wakike wengi wana woga afu ikiwa shule ya kidini basi na wao humohumo wanakua watiifu
Ikiwepo makundi basi labda ya ukuwadi/ umalaya, kujisomea, kusali pamoja, watoto wakishua,wakawaida nk lakini sio yale yakufanya vurugu
 
Nkiwa High school nlitoroka nikaenda Fiesta...kurudi usiku nikakuta Mkuu wa shule mwenyewe kafanya roll call..mimi tu sipo.

Basi kuchekecha akili pale nkalala kesho yake asubuhi nikawahi ofisini kwa second master nimejishika tumbo nikadai kuanzia jana jioni najiskia vibaya sana sababu nliwahi kurogwa uchawi mmoja wa macho nikiwa nakula sasa huwa tumbo linashtuka na dawa zangu zipo huko porini nataka anipe ruhusa nikatafute.

ticha akabaki ananiangalia tu akanipa watu wanisindikize nikaenda nikachimba mizizi ya kutosha huko nkarudi nayo mingine nkaichoma moto nikafunga kwenye kijitambaa cheusi nikafunga mkononi.. Na mingine natafuna..

Aisee.. Hiyo kesi iliishia hapo hapo.
 
Nkiwa High school nlitoroka nikaenda Fiesta...kurudi usiku nikakuta Mkuu wa shule mwenyewe kafanya roll call..mimi tu sipo.. Basi kuchekecha akili pale nkalala kesho yake asubuhi nikawahi ofisini kwa second master nimejishika tumbo nikadai kuanzia jana jioni najiskia vibaya sana sababu nliwahi kurogwa uchawi mmoja wa macho nikiwa nakula sasa huwa tumbo linashtuka na dawa zangu zipo huko porini nataka anipe ruhusa nikatafute.. ticha akabaki ananiangalia tu akanipa watu wanisindikize nikaenda nikachimba mizizi ya kutosha huko nkarudi nayo mingine nkaichoma moto nikafunga kwenye kijitambaa cheusi nikafunga mkononi.. Na mingine natafuna..
Aisee.. Hiyo kesi iliishia hapo hapo.

Hahahaaaaaa, we mkali
 
mmnilipokua o level taa muda wa social yani tunachek movie kwenye hall taa ikizimika tu majanga tuna kiss na baby balaa
 
Umenikumbusha jamaa mmoja aliyekuwa anatafuta nafasi ya ku-serve siku ya wali na akiipata utakiona kivumbi chake maana siku mbili hadi tatu anakula wali tena bila hata kuchemsha.
Jamaa huyo aliendelea kuwa tabia yake maana nilipata habari kuwa kwenye harusi ya mdogo wake huko kijijini alijiwekea pilau kwa ajili ya safari kesho yake. kilichotokea ni kuharisha karibu njia nzima.

jamani tabia za shule zingine zafaa kuachwa uanpofika uraiani.

Hahahahahah hii kubwa kuliko...wali kula kwa more than 2 days pasipo kuchemshwa
 
Inaonekana mlikuwa wasafi sana nyie, sisi sarawili ya dark bluu ilikuwa inavaliwa miezi kadhaa hadi unaweza kuandika notes juu yake kwa kutumia kijiti.

Nimecheka mno...kuvaa hadi waweza kuandika notes kwa kutumia kijiti ahahahahahahah
 
Nakumbuka kupindi cha mitihani ya std 7, c ilikua unatakiwa uje na msosi wako, sasa kuna sista duu mmoja hata kusoma alikua hajui, basi bwana kaja na mahotpot ya kufa mtu, chips mayai, tambi makorokoro kibao, mchana umefika misosi yote imechacha, watoto wa mbwa tukaona fursa wacha tuishambulie, maana mm maza alikua ananipa nusu ya mkate tu, basi pepa likaisha kiulanii ksbsa, sista duu kamaindi mbaya!
 
Hello,Attitude is a state of mind on which depends our actions in life and hence our course of life.So We have shared different types of funny attitude status that you can share on whatsapp or facebook with friends.
Funny-status-for-facebook.jpg
 
Nakumbuka galanos sec tanga tulitotoka Na washkaji watatu,tukazamia kwenye harusi mtaani ,watu kibao wa ukwel plus totoz za kifa mtu bhas kwenye msosi kila mtu Na kadi yake(kumbuka tulizamia,),tukasema kwenye foleni tukae mbalimbali means mmoja nyumba mwingine katikati Na mwingine mbele(kumbuka hatuna kadi)

Kwa kiherehere changu cha msosi nilikuwa wa mbele.

Nafika pale naulizwa kadi ipo wap najidai bubu af msosi unanukia kinyama(mambo ya kitanga, nikawekwa pembeni. Washkaji wakashtuka lkn hawawez kutoka coz geti zote zimefungwa ili wazamiaji wasiingie(sherehe za uswahilini kimtindo)

Baada ya dkka 5 msela wangu nae kapigwa ban ,hapo siongei wa kucheka coz mm ni bubu Ila kicheko kinakuja hadi machozi yanakaribia kutoka
Baada tena ya dkika5 msela nae kapigwa pembeni.

Wenye harusi wakaanza oh oh mnatutia aibu sijui nini Na nini ,mwishowe wakasema tukiendelea kusimama pale ndio tunawatia aibu mara dufu so tupitishwe Kwa mlango wa nyuma ambapo huku kuna masufuria.

Kufika huko tukakuta vitu vya kumwaga(misosi). Dah huwez amini ububu ukaisha ,piga kinyama then tukaweka kwenye mifuko had skonga tukaingia prepo kila mtu alionja ,nikikumbuka mbavu sina
 
Mimi nilikuwa rafiki ambaye saa ya break watoto wakicheza inje mimi rafiki yangu tuli kuwa tukipekuwa every lunchbox ile ikona chapati tuna kula na kujaza maji kwa lunchbox. Then Tuna funika
 
Back
Top Bottom