Crazy gk we miss u!!

brainee

Member
Dec 6, 2010
24
3
Jamani nlikua naomba kujuzwa na wadau wa muzik hum ndan...Crazy GK yuko wapi sku hiz!

Huyu jamaa bado yupo hum bongo au kashatimkia zake mbele,ka yupo anafanya kaz gani,yuko kwenye hali ipi
plz mwenye info !!!
 
Huyu anaunga na wenzake kina Snare, Buff G na O ten. Walikuwa wanabebwa na AY &FA ndao ya EAC. Wamefulia, game tyte.
 
Daaaaah ninachojua khs hy jamaa alikua anasoma chuo pale Tumaini,According 2 my syd nahis music ameacha kabisa coz kuna washkaji zng wng wa upanga wanasema jamaa kautupa music anapiga deal zake binafsi.
 
naikumbuka sana sauti ya GK kwa kweli jamaa alikuwa mkali wa kufoka ukichanganya na kile kigugumizi ilikuwa baaaab kubwa. I wish aje na single tupate tena utamu wa sauti yake. Wherever you are BIG UP CRAZY GK!
 
Sidhani kama GK alikuwa anabebwa kwamba yeye mwenyewe hajiwezi..huyu jamaa bnafc nilikuwa na bado namkubali kinoma na hata leo akirudi naamini ni lazima awashike watoto wa mama

Kutoweka kwenye gemu haimaanishi tuanze kusema flani alikuwa hajiwezi kimsingi wengine wameona haulipi,wengine wameuona una majungu sana,wengine wako kimaisha zaidi etc
 
Ni King Crazy GK GK si kama narap bali nalia,namlilia msichana,msichana mzuri alitoa shule kama sadaka kisha akawasacrifise wazazi kwa tamaa ya fedha,Temeke Rap style ndo mwisho kuwakilishaaaaaa!!!
 
Kweli bana.. jamaa kapotea sana... lakini niliskia jamaa familia yake ni bora mda mrefu.. so alikua hategemei sana music
 
Jamaa anaweza, sister sister, tutakukumbuka, simba wa afrika, sauti ya manka.. GK alikua habwebwi, nadhani mnazikumbuka hizo ngoma jinsi zilivyokuwa kali
 
Kama utataka kutaja mziki wa bongo fleva na unajua historia yake basi jina la Crazy GK bila shaka hutaacha kulitaja ni miongoni mwa wanamuziki walioilletea sifa na kuipa changamoto bongo fleva.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom