Craig David ..Hivi huyu handsome boy alipotelea wapi?

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,375
Hasikiki kwenye music ,kwenye movie popote pale sioni news zake kulikoni?

craig-david.jpg

craig-david-06.jpg

craig-david-12.jpg
 
yupo yupo.....anakula hela yake tu...alitoa few songs hazikuhit sana ndio maana hasikiki....recently nimemuona kwenye tv show fulani as guest.....
 
asante sana mbebabox ...nashangaa tangu nimesingia zile song zake " am walking away mpaka leo sijamsikia tena
 
Kweli FL1 amepotea kimtindo mtindo, jamaa nyimbo zake nilikuwa nazipenda mno Seven days, walkin away, good old days.
 
Duuh! ama kweli gemu ni gumu namkumbuka na 7 Days

sio ugumu wa game,ni arrogance/over confidence/exposure ndio imemshsha.....he is or was very talented....he wrote his 1st album i think alikuwa 17.....album iliuza over 7million copies......he turned down record deals from big american producers including P.DIDDY just because aliamini atakuwa big on his own.....lakini hadi kesho he is successfull musically na financially..........
 
Umenikumbusha wimbo wake wa Rise and Fall
 
Ningekuwa na contact zake ningemwambia aje mara moja...ana uhakika wa kupata free lunch huku maana tayari ana kasifa kake ati...Lol
 
Huko majuu hamnazo kila mtu maarufu utasikia ni gay kwanza utasikia si kweli baadaye unasikia jamaa mwenyewe anajitangaza jamani ehh mimi ni bwabwa baada ya kujificha na kuvumilia. Sana nimeamua ni bwage moyo mi ni bwabwa kwanza unaanza uvumi halafu habari inakuwa ndio hiyo akina George Michael,Elton,Ricky Martin na sasa vijitetesi akina Craig David ,maruhumu MJ,Kanye West sijui huko majuu kunani hata hapa bongo vijana wenge walioenda majuu hasa wale watoto wa vizito ambao baba zao wana majina hapa bongo tunasikia ni mibwabwa ya kumwaga na wengine wameshatangulia mbele ya haki
 
Huyu watu wanasema sio rizki kutokana na matendo yake na kutokuwa na girlfriend kwa muda mrefu the same applies to Sol Campbell(Arsenal player),Lennox Lewis(ex-boxer) tofauti na watu kama wakina Elton John na George Michael ambao wamekuwa wakiishi na wanaume wenzao.

Craig David sidhani kama ni kweli,tatizo he is obsessed with his body.Kuna story nilisomaga kwenye newspaper,model fulani alidai wakati yeye yuko kitandani mtupu Craig D alichukuwa muda kama wa dakika 3 akiwa anajiangalia kwenye kioo kabla ya shuguli(alikiri ilikuwa pevu).Kwa uzuri wa huyo demu kwenye gazeti,nikawa ninajiuliza sisi wakina yahe tusingekumbuka ata kioo...au kingetumika kujiangalia wakati unasimamia baskeli ya swala kwa kidole gumba.
 
he makubwa haya kumbe usipokuewa na G/F watu wanasema ww ni Gay ..loh mbebamabox hebu lete habari za kweli na kuaminika kuhusu Craig..
nimepigwa na Butwaa ....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom