cr7 azawadia kitabu kitakatifu(qur-ani)

pageup

Senior Member
Oct 12, 2012
156
59
ni baada ya kuingia mkataba na shirika la mobily,awapa heko waislamu,asema anaelewa mengi yanayozungumzwa katika vyombo vya khabari juu ya waislamu ni uzushi!!!
attachment.php
 

Attachments

  • cwtrzld820z4exk20p6.jpg
    cwtrzld820z4exk20p6.jpg
    14.3 KB · Views: 776
ni baada ya kuingia mkataba na shirika la mobily,awapa heko waislamu,asema anaelewa mengi yanayozungumzwa katika vyombo vya khabari juu ya waislamu ni uzushi!!!
attachment.php

Atakuwa nabii huyu! mmbora kabisa...kama K.....RESHI!!
 
Kuna tafsiri kibao. Kwa kila lugha maarufu duniani.

Acha kudanganya. Korani haiandikwi nje ya kiarabu. Inatakiwa kubaki kama ilivyoshushwa orijino. Mtafsiri anatakiwa kutafsiri maandishi hayo ya kiarabu ndo ayaseme kwa lugha nyingine kama Kiswahili, lakini si kukiandika kitabu hicho (msahafu) kwa lugha nyingine ya tafsiri. Ingekuwa ni hivyo mbona tungekuwa na misahafu ya Kiingereza na Kiswahili?
 
Acha kudanganya. Korani haiandikwi nje ya kiarabu. Inatakiwa kubaki kama ilivyoshushwa orijino. Mtafsiri anatakiwa kutafsiri maandishi hayo ya kiarabu ndo ayaseme kwa lugha nyingine kama Kiswahili, lakini si kukiandika kitabu hicho (msahafu) kwa lugha nyingine ya tafsiri. Ingekuwa ni hivyo mbona tungekuwa na misahafu ya Kiingereza na Kiswahili?
" ama kweli mkuu, umefika mbali na elimu yako maana hata sura ya kwanza (al-Fatiha) husomwa kwa kiARABU pia kwenye Salat: uisome Al-fatiha kwa kiarabu. kwa hiyo nakala aliyopewa CAPTAIN Chris.Ronalldo imeandikwa w KIRENO kwa maandishi...kwani Wareno/Hispania/Giblarta na waarabu walikuwa toka zamani wakibadilishana mambo km:- biashara,mateka,wafungwa,viyombo tamaduni, nk. kwa hiyo si ajabu hayo. hivi sasa kuna misikiti na maktaba ya kiislamu huko ulaya pia huko Arabuni wapo wachezaji soka wa kulipwa kutoka ureno/barzil/spain nk: mmoja wapo RAUL aliykuwa cpt. wa Real madrid. kwa hiyo huu ni uhusiano wa tamaduni za kimatifa.
 
Tafadhali sana soma MSN news ya leo itakupa upeo mzuri:- Good luck[h=1]Top 10 Fast Facts about Islam Worth Knowing[/h][h=6]Provided by[/h]

  • <IFRAME style="POSITION: absolute; BORDER-BOTTOM-STYLE: none; BORDER-RIGHT-STYLE: none; MARGIN: 0px; WIDTH: 450px; BORDER-TOP-STYLE: none; BORDER-LEFT-STYLE: none; TOP: -10000px" id=I0_1366443724812 tabIndex=0 vspace=0 marginHeight=0 src="https://plusone.google.com/_/+1/fastbutton?bsv&size=Medium&hl=en-US&origin=http%3A%2F%2Farabia.msn.com&url=http%3A%2F%2Farabia.msn.com%2Fnews-gallery%2Fnews-gallery-detail%2F4728%2F%3Fpid%3D90306&jsh=m%3B%2F_%2Fscs%2Fapps-static%2F_%2Fjs%2Fk%3Doz.gapi.ar.lZyUCypOSog.O%2Fm%3D__features__%2Fam%3DUQ%2Frt%3Dj%2Fd%3D1%2Frs%3DAItRSTPSa7NaOGWRzViJkYWTl-jp3m8fAw#_methods=onPlusOne%2C_ready%2C_close%2C_open%2C_resizeMe%2C_renderstart%2Concircled&id=I0_1366443724812&parent=http%3A%2F%2Farabia.msn.com&rpctoken=20003274?wmode=transparent" frameBorder=0 width="100%" allowTransparency name=I0_1366443724812 marginWidth=0 scrolling=no hspace=0 data-gapiattached="true"></IFRAME>
    <G:pLUSONE href="http%3A%2F%2Farabia.msn.com%2Fnews-gallery%2Fnews-gallery-detail%2F4728%2F%3Fpid%3D90306" size="Medium" data-gapiscan="true" data-onload="true" data-gapistub="true"></G:pLUSONE><!-- Place this render call where appropriate -->
  • <IFRAME style="WIDTH: 104px; HEIGHT: 20px" class="twitter-share-button twitter-count-horizontal" title="Twitter Tweet Button" src="http://platform.twitter.com/widgets/tweet_button.1366232305.html#_=1366443756359&count=horizontal&id=twitter-widget-5&lang=en&original_referer=http%3A%2F%2Farabia.msn.com%2Fnews-gallery%2Fnews-gallery-detail%2F4728%2Ftop-10-fast-facts-about-islam-worth-knowing%2F%232-Muslims-Believe-in-Jesus&size=m&text=Check%20this%20out%3A%20&url=http%3A%2F%2Farabia.msn.com%2Fgallery%2Fgallery-detail%2F4728%2F%3Fpid%3D90312&via=MSNARABIA" frameBorder=0 allowTransparency scrolling=no data-twttr-rendered="true"></IFRAME><!--endtwitter-->
  • <fb:like class="fb-like fb_edge_widget_with_comment fb_iframe_widget" colorscheme="light" font="segoe ui" action="like" show_faces="false" data-layout="button_count" href="http%3A%2F%2Farabia.msn.com%2Fgallery%2Fgallery-detail%2F4728%2F%3Fpid%3D90312" fb-xfbml-state="rendered"><IFRAME style="BORDER-BOTTOM: medium none; BORDER-LEFT: medium none; WIDTH: 90px; HEIGHT: 21px; BORDER-TOP: medium none; BORDER-RIGHT: medium none" id=f43bb5d3dd92d5 class=fb_ltr title="Like this content on Facebook." src="http://www.facebook.com/plugins/like.php?api_key=&locale=en_US&sdk=joey&channel_url=http%3A%2F%2Fstatic.ak.facebook.com%2Fconnect%2Fxd_arbiter.php%3Fversion%3D23%23cb%3Df19c29d8d807125%26origin%3Dhttp%253A%252F%252Farabia.msn.com%252Ff3e20823011892a%26domain%3Darabia.msn.com%26relation%3Dparent.parent&href=http%253A%252F%252Farabia.msn.com%252Fgallery%252Fgallery-detail%252F4728%252F%253Fpid%253D90312&node_type=link&width=90&font=segoe%20ui&layout=button_count&colorscheme=light&action=like&show_faces=false&extended_social_context=false" frameBorder=0 allowTransparency name=f3126a8953b5b4 scrolling=no></IFRAME></fb:like>
  • 2


[h=1]3. Jihad Does Not Mean Mass Killing[/h]
3.jpg

<INPUT id=imageName value="1. Islam Considers a Daughter a Blessing" type=hidden> <INPUT id=typeTemplate value=browser type=hidden>





<!--startnggdesc-->Jihad is another amazing postulate of Islam but it has also been misunderstood by the people. Jihad does not mean the mass killing of non-Muslims, it means that you have to go for the rescue of your Muslim brothers who are being tortured and are not being provided with their rights. There are however some people who have&#8230; more
 
Hivi kwani huyu jamaa akiwa mwislam, itatusaidia nini sisi wa Manzese, Tandale, Mbagala, Kigogo na Tanzania kwa ujumla na hizi shida zetu? Pesa zake ndo zitatujengea masjid au madrasat? Kwanini tunajifanya kuwa hatuna matatizo ya kujadili hadi sasa tunataka kujadili mambo yasiyo muhimu? Tubadilike!
 
nasikia mmeruhusiwa kuchinja njooni basi mnichinjie nguruwe wangu jamani
 
Back
Top Bottom