low thread

stupid Rudi shule ukasome,,vipi umamaliza vodafasta?

mambo. Cover letter ni tofauti na barua ya kuomba kazi ingawa zinafanana kidogo. Format ambayo ni common sana ni hii:

Adress yako inaanza kushoto, kisha tarehe,kisha adress ya mwajiri upande uouo wa kushoto,kisha salutation yani dear sir/madam, then haina kichwa cha habari, utajieleza kidogo then utauza sera then ni vizuri mwishoni ukaandika namba zako za simu.

ZINGATIA: cover letter inahighlight cv na sanasana katika skill na competence zako kulingana na kazi uliyoomba. Waajiri wengi hasa kwa kazi zinazotangazwa online huwa wanataka cv na cover letter kwanza,huwa hawataki copy za vyeti katika hatua hii. Kwa nnavyojua ni hivyo manake nimeandika sana hizo hasa nilipokua naomba kazi online. Shukran.

....Ssafi sana, nafikiri aliyeomba msaada atakuwa amefaidika na michango kama hii. WaTZ tunapenda mno kujifanya 'much know' na mara nyingi hujiona bora bila kujua kuwa kila mtu ni bora kwa nafasi yake.Itategemea unatumia njia gani kuituma, lets say ni kwa njia ya email; mtindo huu haukupasi kuweka addrss kama vile unatuma barua kwa posta
Please find enclosed a copy of my resume in support of my application for the post on the subject above which was advertised on the Gazeti letu of August 05, 2011.
My experience is, as you will see, very relevant for the needs of this vacancy.
I hope that you will find my details of interest, and I will, be happy to be given the opportunity of expanding upon them at interview.
I look forward to hearing from you in due course
Yours faithfully
tnm
Tumbo Njaa ya Mshahara
Kama unatumia aina ya barua tunazotuma posta, ni vizuri ukafuata njia tuliyozoea yaani anuani mbili, yako kulia na ya unakotuma shoto, soma wadau wameeleza nn itasaidia sana
low thread
stupid rudi shule ukasome,,vipi umamaliza vodafasta?
ila sidhani kama kuna haja ya kulumbana kuhusu comet yake so swala nikumsaidia c unajua mfumo wa shule zetu my be alikuwa anasoma ili mladi afaulu mtihani tu