WONDERWOMAN
Member
- Jul 21, 2009
- 79
- 15
Hakuna jamhuri yoyote itayomshitaki zipo ndoa nyingi za binamu,baba mmkubwa na mdogo,mama mkubwa na mdogo usiharamishe vitu ambavyo kwa wengine ni halali ukoo haundi mbali .aulize kwao inaruhusiwa au la.
that is incest crime! Mnaweza kushitakiwa na jamhuri! Lakini pia inatufanya tuingiwe shaka juu ya mwenendo na tabia zako kwa ujumla.au wewe ni penda penda? Acha tamaa dada