Cousin wangu ananipenda

Zheneba

Member
Aug 5, 2011
75
9
Mm ni msichana nina 24 yrs,last wk ndo nimekutana na cousin wangu for the 1st tym, before hatukujuana kabisa. Basi tulipojuana 2kafurah sn tukapiga story sn 2kagundua interest zinaendana sana, kumbe mwenzangu kanipenda tena mpaka analia yupo radhi asiende kazn ila aje 2pige storry nimemwambia ninampnz lakin hanielewi,pia nimemwambia sisi ni ndugu haelewi anadai ninasifa zote anazozitaka, na ananipenda kweli kuliko myboy, Sijui hata nifanyeje kunusuru undugu wetu.
 
Dear, hawezi kukupenda kuliko your boy in JUST ONE WEEK. Ameona kuna baadhi ya vigezo anavyo vitafuta kwako ila hajakujua sana. Pia hata akikujua kuna undugu kati yenu. Kuna makabila mengine ambapo kua na uhusiano na binam yako sio kosa ila naamini sio uhusiano wa boyfriend girlfriend. Ni uhusiano with longer commitment. Ninge kushahuri uache kwanza kuchat nae kwa sms/bbm/fb or any other mean mnatumia kwa kuongea, na kama utaweza minimize kuonana nae except for family gathering. how old are you?
 
we asili yako ni wapi. Kama wewe ni mwarabu mbona hapo ni shega tu. Ila kama wewe ni mmatumbi, hiyo kitu ya kurusha roho na binamu imepitwa sana, yaani mnataka hiyo gene pool yenu isipanuke, lol!
 
Ww zhuneba yule mwanaume uliyesema hajakuambia "i love u na i miss u" kwa miezi tisa umeamuaje?
 
Mm ni msichana nina 24 yrs,last wk ndo nimekutana na cousin wangu for the 1st tym, before hatukujuana kabisa. Basi tulipojuana 2kafurah sn tukapiga story sn 2kagundua interest zinaendana sana, kumbe mwenzangu kanipenda tena mpaka analia yupo radhi asiende kazn ila aje 2pige storry nimemwambia ninampnz lakin hanielewi,pia nimemwambia sisi ni ndugu haelewi anadai ninasifa zote anazozitaka, na ananipenda kweli kuliko myboy, Sijui hata nifanyeje kunusuru undugu wetu.
huu sasa mwisho wa dunia..........................hivi ukimkubalia na mkajaliwa kupata watoto wakike akiwapenda basi hicho ni kigezo cha kuanza kutembea nao? kama hana mipaka kwa kisingizio cha kuwa mipaka imeyeyushwa na pendo lake kwako..................basi uelewe ni wewe umpe mipaka yako kuwa......................there is no love in sinning against the Almighty God......................aliyekataza incest.........
 
Hicho ni kipimo toka kwa Mungu juu ya huyo b/friend wako wa mida kama ukimsaliti utajakosa vyotd pia mwambie nyie ni ndugu kuoana ni ngumu so akuachd. Pia kumbuka kwavile hamwez kuoana inamaana mtachezeana na baadae kuachana then hamtakuwa na malengo ya baadae
 
2ekee picha yako 2one kama kweli unavigezo vyote jamaa anavyovitaka.
 
wewe ulikuja jana ukasema una mpz wako wa miezi 9, hajawah kukwambia anakupenda. Huna kazi hataki kukuajiri kwenye Ngo yake, kakukataza kuvaa suruwali, anataka ubadili dini, hawez kukuoa, leo binamu anakutaka.

HUNA MSIMAMO WEWE WA MAISHA YA KIMAPENZI, MMEJUANA WIKI 1 TU NA BINAMU YAKO UMEJUAJE KAMA ANAKUPENDA KULIKO BOY WAKO?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Watu mnaoandika Thread Ki'Facebook mnaboa kwa kweli.. Write those words straight this aint FB.
 
Acha kutuelezea hadithi za kitoto, we m2 mmefahamiana ck mili tu halafu unataka kuchukua maamuzi mazito namna hiyo! Jinsi maelezo yako yanavyoonekana unatawaliwa na tamaa.
 
wanawake bana,sasa hapo nini kinachokuchanganya?nyie ni ndugu,haya hata kama haidhuru una mpenzi ambaye bila shaka mnaenda vizuri,nini tena unataka?
 
wewe ulikuja jana ukasema una mpz wako wa miezi 9, hajawah kukwambia anakupenda. Huna kazi hataki kukuajiri kwenye Ngo yake, kakukataza kuvaa suruwali, anataka ubadili dini, hawez kukuoa, leo binamu anakutaka.

HUNA MSIMAMO WEWE WA MAISHA YA KIMAPENZI, MMEJUANA WIKI 1 TU NA BINAMU YAKO UMEJUAJE KAMA ANAKUPENDA KULIKO BOY WAKO?

kwa mlolongo huu, huyu Z ni maharage ya mbeya, maji mara moja tu!!!ndo matatizo ya vicheche kuingia humu ndani, loh!kila akitongozwa anataka 'greater thinkers' tumshauri,pambafu!!
 
Back
Top Bottom