Course zipi udsm inayoongoza kwa sup na kudisco ,

Mb-one

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
882
1,282
tu consider kichwa cha kawaida tu cha denti syo genius wala kilaza,kusema ukweli tujuzane ni kozi ipi inayoongoza kwa mwanafunzi kudisco na kupata sup nyingi udsm na vyuo vingine
 
kwa vyuo vyetu vya tz sup na disco znasababishwa na watu wawili yani mwanafunzi na mwali...inawezekana mwanafunzi akashndwa kwa uzembe wake, pia mwalimu anachangia kwa ufundishaji na mitindo ya usahihishaji na utoaji wa maksi..
Cdhani kama wewe unafika chuo umechagua course furani na unafahamu fika changamoto zake na unashindwa na unasingizia eti course ngumu...hakuna course ngumu kwa mwanafunzi, labda yule aliyelazimishwa kuisoma.
Nimeeleweka.
 
Sawa huo uzembe cjui wa mwanafunz au utoaji wa marks wa mwalim,but ujatoa jibu assume other factor remain constant je coz zip znazoongoza kwa sup and disc
 
(i)civil engineering(ii) bsc with ed especially PH,MT (iii)ECONOMIcs hapa utamkuta Karamagi.(iv)electrical eng
 
Back
Top Bottom