Country musics

HII HAPA HOT NANI MKALI BETWEEN THIS TWO?



Kenny Rogers Versus Don Williams!
 
Thank you Amyner for helping me out.
kwa kuongezea:
The Last ten Years - K. Rodgers
Lord i hope this Day is Good - D. Williams
Why don't we get drunk and screw - Hank Williams

Lord I hope this day is good - wimbo ni lazima niusikilize na kuuimba kila asubuhi.
Siku mvua ikinyesha asubuhi kabla wakat sijaamka huwa ninasikiliza 'Morning desire' wa Kenny Rogers
 
Kuna small town southern men, living on love, here on this world, hootie coochie by Alan Jackson.
Who is that man, I love this bar, American ride, who is your daddy, I aint no as good as I once was, Trailorhood by Toby Keith
 
Mwali, huyu Ray Charles hakuwa mwimbaji wa COUNTRY MUSIC. Yeye alikuwa zaidi kwenye JAZZ, R&B etc.....

Mie pia ni mpenzi mzuri sana wa Country music. Don Williams nikianzia, Kenny Rogers, Dolly Parton nk hadi hizi New SH*t za sasa ambazo kila sehemu zimevamia na kuharibu muziki. Kwa wapenzi wa Old School, mpitieni pia Reba Mcentire na huyu dada Wynona JUDD (mama pia ni Actor mzuri tu).

1. Reba McEntire - Starting Over Again - YouTube Reba Mcentire (Starting over again).

2. Wynonna Judd - It's Never Easy To Say Goodbye - YouTube

Sasa tuje kwa Don Williams, OMG. Unaanzia Senorita, Gyps Woman, You are my best friend, kwa kweli zipo nyingi sana.
Ninazopenda kwa sasa na kwa sababu zimepigwa na jamaa wengine na kupigwa vizuri sana ni hizi hapa chini;

3. Huyu mama ni Mwimbaji mzuri sana wa Gospel na hapa anachukua wimbo wa Don Williams na kuubadilisha na kuanza kumwimbia mtu wa pili (Mwanaume) maana yeye ni Mwanamke. Wimbo safi sana na ukiweza basi utafute kwenye Youtube wimbo wa Don Williams .. I`m just a Country Boy Don Williams.mpg - YouTube



4. Wimbo wa Don Williams, it must be love : Don Williams - It Must Be Love - YouTube
Baadaye akaja mwimbaji maarufu kwa sasa na mpenzi pia wa Don Williams na akauimba tena...



Ila nikiri kuwa katika mambo yaliyonishangaza ni kumuona Don Williams akiwa Zimbabwe a kufanya Concert kama mbili au tatu hivi. Nilipata bahati ya kununua DVD Concert yake ambayo nafikiri Ebay waweza kuibahatisha mara moja moja. Yeye pia alishangaa sana kukuta nyimbo zake zinapendwa sana Africa na alikuwa anafikisha sehemu anaacha kuimba na watu wanaimba hiyo sehemu. Poa zaidi walipomuomba aimbe SENORITA na wakamsaidia kuimba kwa furaha. Enzi hizo BLACK and WHITE in Zim walikwua kitu kimoja. Ukiweza kuipitia hii Video ya mwisho, poa sana.


I can't stop loving you - Ray Charles...
(you'd fall in love with who ever you are dancing with, lol)
 
Last edited by a moderator:
Sikonge, I know Ray Charles, I am a fan
Ila huo wimbo nilitaja ni country music
One of the few in his repertoire.
 
Last edited by a moderator:
Johnny Cash: I cant help but wonder where I'm bound
Satisfied Mind na I don't hurt anymore zote za Cash, ni nzuri na pia ni shabiki wa Dolly Parton, DW na Eric Church-Love your Lover most
 
Mwali, big no!!!! Samahani kupingana na wewe katika hili ila nafahamu ni makosa wengi huwa wanayafanya. Huo wimbo hauwezi kuwa COUNTRY hata siku moja.
Jambo lililomshangaza Don Williams alipofika Africa ni kuona watu wanasikiliza miziki ya Country. Ukweli ni kuwa miziki ya miaka ya 50/60 ilikuwa ni hiyo yenye element za Gospel/Country. Country miziki wanaweka vyombo kama Mandolin, Banjo nk na uimbaji wake umekaa zaidi kama wa ki-IRISH, huku akina mama wakiimba sauti za juu sana na akina baba wakiuma maneno.

Gospel imekaa pia vilevile ila uimbaji wake umekaa zaidi ki-AFRICA. Pia hawana vyombo kama hivyo hapo juu na hapo ndipo utagundua tofauti ya Gospel na Country kwa zamani.

Ndiyo maana utashangaa Dolly Parton aliimba "I will always love you" na ukawa Country ila Babyface na Hitman (David Foster - Namshushia kofia huyu M-Canada) waliubadilisha na kuwa R&B na Whitney Houston alipouimba, ukawa big hit ila siyo kwenye COUNTRY.

Pia kuna wimbo kama John b Goode aliimba Chuck Berry ni Rock&Roll ila Peter Tosh aliimba pia na ukawa ni REGGAE.

Mcheck Don Gibson na usikilize vizuri upigaji wa vyombo hapa chini kwenye video no. 1 na mwisho linganisha vizuri na upigaji wa Ray Charles ambao umetawaliwa zaidi na Kinanda anachopiga yeye na pia kuna Background vocals wengi.....

1. DON GIBSON "I Can't Stop Loving You" Rotterdam 1979 - YouTube (Don Gibson - Mwandishi wa wimbo).

2. RAY CHARLES "I Can't Stop Loving You" - YouTube (Ray Charles).

3. MAHALIA JACKSON PRECIOUS LORD TAKE MY HAND - YouTube (Mahalia Jackson - Pure Gospel)
Sikonge, I know Ray Charles, I am a fan
Ila huo wimbo nilitaja ni country music
One of the few in his repertoire.
 
Hapa ni mfano wa wimbo ambao ulianza kama R&B na kuimbwa na Dionne Warwick kwanza. Mama namhusudu sana kwa sauti yake inayokuambia hana makuu kabisa.

Baadaye akaja SHANGAZI asiyetaka kuzeeka, Patti Labelle na akaimba huu wimbo na kutesa sana kwenye Chart nyingi duniani kuanzia na Billboard ambako ilishika No. 1 kwenye category kadhaa.

Mwisho akaja Reba Mcentire kwenye Album yake Starting over again akaurudia na yeye huku akipata na yeye pia sifa nyingi kwa wimbo huu uliogeuka kuwa wa COUNTRY.



 
Last edited by a moderator:
Try to forget. Jimmy rieves
when did you stop loving me. George s
Love is strange. Dolly P
I cross my heart. George S
Lucile. Kenny R
Tulsa time. Don w
she never know me. Don W

Kumbe wadau tupo wengi eh? Mkuu, Don Williams anatisha. Kwanza hvyo vitu ulivovitaja ni noma ila ana vingine tishio zaidi km TRUE LOVE, AM JUST A COUNTRY BOY na ESPECIALLY FOR YOU. Pia Bellamy Bros ni watamu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom