Counselling ya nguvu inahitajika - hakuna utani jamani.

Unajua nipo katika kampeni nzito ya kumtafuta mtu kisha nimjenge kwa kipindi hiki then 2012 awe ananipikia na kupakua tu si unajua ni malengo tu niliyo jiwekea ifikapo 2012 na mm naaga ukapera.

DUH!
Fidel, naona huyu hutamweza kama una mipango ya aina hiyo.KUPIKA NA KUPAKUWA? Huyu ni matawi ya juu..... labda wewe uwe unampikia na kupakuwa maana yeye muda mwingi anakata mawimbi across continents.
 
DUH!
Fidel, naona huyu hutamweza kama una mipango ya aina hiyo.KUPIKA NA KUPAKUWA? Huyu ni matawi ya juu..... labda wewe uwe unampikia na kupakuwa maana yeye muda mwingi anakata mawimbi across continents.

Duh mtume!
Ok ok sio mbaya bana si tunaajili mtumishi wa ndani ningependelea zaidi tukipata hausi geli wa kutoka Manyala au Kondoa.
 
Duh mtume!
Ok ok sio mbaya bana si tunaajili mtumishi wa ndani ningependelea zaidi tukipata hausi geli wa kutoka Manyala au Kondoa.
Kusudi akiwa angani... wewe chini unajiexpress kwa mmanyara au mkondoa si ndio?
Usioe bana..baki ivo ivo....
 
If you have a will then everythng is possible,may be you should tell JF members if there is other reasons behind that,if you do realy love each other then parents,relatives can not be an obstacle towards your wish.just stick to your plans and try to consult elders they might help you overcome tha obstacle.dont quite that relation.
Those who tolerate till end they will enjoy the fruits of happiness.
 
Mimi binafsi nadhani kuna sababu nyingine zaidi, labda amekueleza kijuujuu.

Kwanza hawa watu ni dini gani? Kama ni waislam dini inaruhusu so huyu msela anatafuta kisingizio.

Kama ni wakristo ni dhehebu gani? kwani niliwahi kushuhudia case moja ya wakatoliki. Ndugu walikataa coz mwanamke alikuwa ameachika kama huyu ila walikataa kwasababu hao watu waliachana si kwa ugoni si sababu nyingine tu.

Walimwelezea huyo dada kuwa biblia imeruhusu kuachana tu pale mmoja wa wanandoa anapotoka nje na si vinginevyo, hivyo yeye na huyo mume wake kidini bado ni mume na mke japo wameachana kisheria.

So sijui sana kuhusu kesi yao hao, ila vyovyote vile huyo dada asizae kwa kumridhisha huyo mwanaume, kwani mwisho wa siku ajue huyo mtoto atakuwa wake peke yake.
 
MTM
NITAJITAHIDI kujibu kadri nifahamuvyo:
1.hao wapenzi wana umri gani? umri wa kati ILA SIJUI HASA si unajua tena huwezi kudodosa sana umri wa watu

2.wazazi wao ni makabila na dini moja? hapana makabila na dini tofauti

3.hao wazazi wako ndani ya ndoa? ndio

4.Huyo aliyeachana na mwenza... Mwenza yuko wapi? yupo yupo

5.Au tayari keshavuta? sijui kama keshavuta

6.Je wao unaweza kuwaweka kwenye kundi lipi la kijamii kimapato? wko poa sana uchache siyo ishu kabisa.
MTM ..haya maswali mbona mengi mno??

VC, i have seen a number of marriages zilizoenda kinyume na wazazi, either wa upande mmoja au wa pande zote, in some cases ni mzazi mmoja tu ndio aliyekataa. Baadhi zilianguka, lakini si kwasbabu ya wazazi, la hasha, ni kwasababu tu penzi halikuwa na nguvu ya kusstain misukosuko ya mazingira tunayoishi. Nyingi zipo na ni mifano ya kuigwa, wazazi wangu wakiwa mojawapo ya hio couples, it took them over 20 years to be accepted kwa pande zote, lakini kwa sasa ndio wanabeba misalaba yote na heshima zote kwa pande zote mbili.

Below are my fifty cents;

  • Kwanza kabisa wasizae, ni selfishness without considering maisha ya mtoto, hapo wanajitosheleza tu kiu zao; what if watashidwa kuendelea badae? mtoto je? hata wakiendelea, mtoto ndio atakuwa tool yao badala ya penzi lao.... na hii ya kusema mwananmke anamzalia mtoto mwanaume haijakaa!!! Yaani anakuwa kama kapu tu la kubeba .....!!:p:p;)
  • Pili kama kugumu zaidi ni kwa mwananume kwani mwanamke alishaolewa, maana yake ni kwamba he is the one to throw a dice and take on from there... Mama yuko serious na hata kuwa mzee wa kukumbushia ndoa ya kwanza wakati wa matatizo, basi afanye maamuzi
  • Kama wanaamua kuoana, wasikimbilie popote, waoane hapo walipo ili kila mtu aheshimu strengths za will zao, hii hupunguza sana mafisadi wa penzi kwa adhma yao inakuwa dhahiri kwa kila mwenye macho na masikio
  • Kama hawana hakika, basi wasipoteze muda kwani everything has a taste of time, huwa yanakwisha asikudanganye mtu, hata iweje... wanasema "time heals"---wasanuke mara moja
  • Jamaa pia aweke msimamo wake very clear kuhusu x-husband na ikibidi wamcontact na kumpa za uso kabisaaaaaaaa
  • Mwisho kabisa, materials, status etc. husumbua hasa kama vijana bado wanategemea certain funds kutoka kwa wazazi, hivyo wakiamua kuendelea pamoja, basi wajitegemee 100%
  • Kuhusu ndoa, si lazima kanisani... kuna sheria ya hata cohabitation ya certain period ina-apply

MTM
 
Jamani hivi wewe dada umesahau kuwa kuzaa bila ya kuelewa au nje ya ndoa ni haramu, sio vizuri kabisa ndio maana watu wengi hawapendi kuzaa nje ya ndoa kwa kuwa huyo mtoto hatakua na mapenzi ya pande zote mbili. Hebu muonee hururma huyo mtoto maana inawezekana akaenda kuishi na mama wa kambo ambaye ataolewa na huyo uliyezaa nae, je unafikiri atapewa matunzo bora kama vile wewe unavyotaka? Angali watoto wa nje ya ndoa wengi ndio hao ambao wanaomba omba huko mabara barani, hwana uhakika wa maisha na mara nyingi wamekua wakitengwa na kutopata mahitaji yao muhimu kama elimu, afya, mavazi, chakula nk. Na pia ndio chanzo tena cha yeye kuwa jambazi, malaya, watumiaji wa mihadarati, walevi n.k.

Habu tunafikiri hata dini zinavyosisitiza tuzae ndai ya ndoa walikosea? Jamani waliona mbali, chako utakipenda tofauti na cha mwenzio. Kumbuka sisi binadamu tumeumbwa kwa kuwa na ubinfsi, hii ni nature yetu (selfish) ndio maana mtu atakipenda kitu chake kuliko cha mwenzie. Kwa hiyo usijidanganye kama huyo mke wa jamaa atakuja mpenda huyo mwanao, kwanza ndioa atamchukia kwa sababu atajua akifa jamaa naye atarithi mali na pia hatapata matunzo bora na elimu nzuri

Tafakari na Chukua hatua. make sure that you make good decision ili usiumie hapo baadae na kumbuka pia majuto ni mjukuu
Kindly punguza font na bold ndugu yangu, zinaumiza macho hizi ni too screaming
 
If you have a will then everythng is possible,may be you should tell JF members if there is other reasons behind that,if you do realy love each other then parents,relatives can not be an obstacle towards your wish.just stick to your plans and try to consult elders they might help you overcome tha obstacle.dont quite that relation.

Thats the wooorrrrrrdd!!!

Its either they depend on their parents or naive birds; otherwise they dont have that strong bond which would make them swim past the deepest sea and climb the highest mountain!!!

Lovely
 
"Kwako Mpendwa baba/mama ushauri,
Pole kwa majukumu ya ujenzi wa taifa.Naomba ushauri kuhusu haya yafuatayo.Niko katika uhusiano imara kwa muda sasa.Sote hatujapanga kuoana ila tunapendana sana.Sijataka kuolewa kwa vile kuna kikwazo .Ndugu wa pande zote wamekataa katakata kuturuhusu kuoana.Sisi tumeona haina haja kubisha wala kuharibu mahusiano ya kifamilia kwa vile ndoa siyo ya mtu mmoja bali ya familia zote mbili.

Kwa vile tunapendana kupita kiasi, mwenzangu anataka nimzalie angalau mtoto mmoja kama kumbukumbu ya penzi letu.Mimi nina wasiwasi kwa vile najua fika hakuna uwezekano wa kuoana na huyu mkaka.Isitoshe sitataka kubeba jukumu la kulea peke yangu hata kama nitaingia gharama za kumlea mwanangu.Huyo mkaka anasisitiza kuwa atafurahi sana kama nitamzalia na atamkubali mtoto na kuwajibika ipasavyo.Hili kwa kweli linanipa tumaini lakini bado nina wasiwasi.
Naomba ushauri, Nimkubalie? Nitahakikishaje hatabadili mawazo mbele ya safari"
Sister L.
.

Aroo fest redi!!!

Kwani font hii nayo umeweza kuisoma? poa? au?
 
Back
Top Bottom