Counselling ya nguvu inahitajika - hakuna utani jamani.

kwani mtu anavyooa au kuolewa are you marrying for watu wengine au mwenyewe???hao kaka sijui dada watakuja kuishi na wewe kwenye ndoa yako?? yani wat the f.c.u.k is wrong na watu kuingilia makubaliano ya watu wawili wanaopendana ya kuoana??yani nachukiaga sana nikisikia habari hizi.
Sister L via Veracity: tafadhali nakuomba usisikie ya mtu. kama unampenda huyo kaka go ahead olewa naye na uzae naye mtoto/watoto.mambo ya familia sijui nini yaache mbali kabisa.hawajui mlikutana wapi na huyo kaka what you have been through mpaka hapo and how much you love yourselves.kuolewa na kuachika isnt a big issue to make you not to get married with him.labda it was a mistake kuolewa na huyo jamaa wa kwanza and this new guy could be the right guy.
ABOVE ALL NI MAISHA YAKO SO NDO UTAAMUA CHA KUFANYA.
 
hhehe kiongozi mi ni hapo tu,,kwamba mtumiaji unamjua ndo roho inauma? je pale mnapoendesha gari wawili kwa wakati mmoja bila kujuana inakuwaje? si bora huyo aliyetangaza kabisa kuwa sasa ni basi
Tatizo hawa wadudu huwa hawaachani kijumla. Wakikutana lazima wakumbushane. Period! Ni heri nitafuniwe na mtu nisiyemjua kuliko ninayemjua. Patakuwa hapatoshi
 
VC kwani hao wapenzi wana umri gani? wazazi wao ni makabila na dini moja? hao wazazi wako ndani ya ndoa? Huyo aliyeachana na mwenza... Mwenza yuko wapi? Au tayari keshavuta?

Je wao unaweza kuwaweka kwenye kundi lipi la kijamii kimapato? wastani, maskini au poa?

Halafu ndio ntakupa mawazo yangu
 
haa kuoelewa akaachika ndo watu waingilie mapenzi yao wanajua walikutana wapi
Cha msingi kama wao wako katika true love wafanye kile moyo umeamua kufanya ,,kwa nini ufanye kitu kuwafurahishe wengine ??

Exactly FL hiyo ni point kabisa in red. yani kila decision utakayoamua itategemea na furaha yako mwenyewe si watu wa pembeni
 
Ndugu wa mwanaume hawamtaki huyo dada kwa vile alishawahi kuolewa akaachika.Wanataka ndugu yao aoe msichana.Ndugu wa mwanamke nao kusikia hivyo wakaja juu kwamba kama ndugu wa mwanaume hawakutaki, basi kaa hivyohivyo.


lakini angependa kuolewa na mwanaume mwingine mf akimpata wa kumpenda kwa dhati? kama ndio basi acmzalie kabisa, kwanini umzalie mwanaume ambae tayari familia zimeingilia kati mambo, anaweza kuja badilika kutokana na shinikizo la ndugu zake na umeshajua kabisa hawakutaki, sasa kama hawakutaki na wewe umejua hilo kwanini umzalie? na wakimkana na mtoto na wakashinikiza na ndugu yao wacmtambue mtoto huo mzigo utaubeba mwenyewe....UCZAE NA HUYO MKAKA... hakuna mapenzi ya hivyo na kama huyo kaka angekuwa anakupenda kama unavyodhani angekuoa tu na kuielewesha familia yake kwamba wewe ndio chaguo la moyo wako lakini hajafanya hivyo.
 
Ndugu wa mume nawapa big up. Kitendo cha kuachika kinamuelezea huyo mdada na ujinga wake. Mwanamke akiachika ni ujinga wake mwenyewe, si mvumilivu na ameshindwa kuilinda ndoa yake mwenyewe. Mwambieni huyo jamaa afuate ushauri wa ndugu zake, aachane na vitu used.


yaani kuna wakati unaongeaga pumba mpaka nakereka....wewe unajua kisa cha huyu mdada kuachika au unasema tu.
 
kwani mtu anavyooa au kuolewa are you marrying for watu wengine au mwenyewe???hao kaka sijui dada watakuja kuishi na wewe kwenye ndoa yako?? yani wat the f.c.u.k is wrong na watu kuingilia makubaliano ya watu wawili wanaopendana ya kuoana??yani nachukiaga sana nikisikia habari hizi.
Sister L via Veracity: tafadhali nakuomba usisikie ya mtu. kama unampenda huyo kaka go ahead olewa naye na uzae naye mtoto/watoto.mambo ya familia sijui nini yaache mbali kabisa.hawajui mlikutana wapi na huyo kaka what you have been through mpaka hapo and how much you love yourselves.kuolewa na kuachika isnt a big issue to make you not to get married with him.labda it was a mistake kuolewa na huyo jamaa wa kwanza and this new guy could be the right guy.
ABOVE ALL NI MAISHA YAKO SO NDO UTAAMUA CHA KUFANYA.

Hivi unachokiandika unakielewa? Ndugu, usijidanganye kuwa eti kama pande mbili zinagoma wewe unawashuri go a head.....sikubaliani na wewe maana mkioana mnaishi ndani ya utaratibu wa jamii, mnaishi na ndugu.....kwanini usiwashauri wawaelekeze ndugu wakubali then waowane. Binafsi nadhamini uwepo wa ndugu katika kuchangia furaha yangu, itategemeana ni jinsi gani naongea na kuishi nao.....There exist no isolated marriage. Well inawezekana sielewi nachoandika kama wewe, ila kamwe usije mshauri mtu a go ahead with a marriage ambayo wazazi hawaipendi.....kuwa muangalifu JS.................lol
 
Huyo bwana yupo kama ameshakubaliana na familia yake kuwa huyu binti hafai na hivyo anataka kusepa...Hili la kutaka kuzaa nae ni gia tu ya kupata mahali pengine pa kubadilishia mboga wakati atakapopata msichana mwingine "mbichi"...kama atampata. Maana kuoa ambaye hajaachwa si kigezo cha upatikanaji wa mali mpya...used kibao zipo mtaani - pontential candidates.

Kama kweli unampenda wanasema utamlinda...kama huyu bwana anampenda na anataka kuwa na alama katika maisha yake ni kumuoa tu hata kama ndugu hawapendi..kwani ni mke wao! Watu wengine bwana...haya mambo ya kuolewa na familia! Veracity mwambie Shosti wako kama bwana hayupo tayari kufanya hivyo aendelee na maisha yake, inawezekana kabisa akampata mwingine anayemfaa na kumpenda regardless ameachika.
 
Okay, kama kweli ni watu wazima na wanaelewa utaratibu hicho sio kikwazo,

kama wameachana kwa talaka halali na kisheria inatambulika kuwa ameachika, basi anaweza kufunga ndoa bila kulazimika kuwa na makubaliano na hao ndugu WABAGUZI

Huyo mwanaume auvae uanaume amshike mkono wapelekane kwa DC ama msikitini ama kanisani wamalize mambo..wanahitaji mashahidi wawili na sidhani kama watawakosa.

wakimaliza , wachape mwendo wa maisha kama kawa. Hao ndugu watakuja kujutia ushauri wao mbeleni...ila cha muhimu wahakikishe kweli wanakaa pampja na kupendana kiukweli kweli.....

huyu mdada anavyolitafcr penzi la huyo mwanaume wake kwake ni tofauti na mwanaume anavyofanya, huyu mwanaume angekuwa anampenda kikweli huyu mdada acngewackiliza hao ndugu mana yeye ndio atakaeishi na huyo mke na ni chaguo lake kutoka moyoni, huyo mkaka bado yupo yupo tu hana muelekeo wasasa.
 
kwanza kukurekebisha kidogo ndoa ni ya watu wawili wewe na mpenzi wako ndio mta deal na matatizo yenu binafsi wakati wa raha na shida.dunia imekuwa sasa na ukitaka kusubiri baraka za ndugu kwenye mambo ya mapenzi hhayo ni mambo ya zamani na ndio maana walikuwa wanatutafutia wao kipindi hicho watu wa kuwaoa.
kama kweli mnapenda kwa dhati wewe na huyu jamaa basi hakuna anayeweza kusimamisha ndoa yenu zaidi ya nyinyi wawili.na nakuakikishia kama mtaona baadae ndugu zenu watawaunga mkono tu no matter what kama wana nia nzuri na nyinyi.ndoa ni jambo la furaha kwa watu wawili wapendanao sasa kwanini wao hawataki kuwaona nyinyi mkiwa na furaha kwenye maisha yenu wakati mnapendana sana kama ulivyosema?
swala la pili la kutaka kumzalia nakushauri usifanye hivyo.hakuna mapenzi ya haina hio kama kweli mnapendana kiasi cha wewe kutaka kukubali kumzalia basi mna uwezo pia wa kufunga ndoa bila kujali ndugu watasema nini.swala la wewe kumzalia mtoto huyo wakati hamna nia ya kuwa pamoja ni mateso kwa mtoto utakaye mzaa kwani ana hitaji mapenzi ya baba na mama na hatowaelewa kabisa sababu yenu ya kutokuwa pamoja hapo baadae.
swala lingine wewe kuzaa mtoto alafu una nia yakutaka kuolewa baadae ni kwamba unajiongezea mtihani mwingine tu kwenye hio ndoa yako nyingine.
acha kuchanganya habari kwenye maisha yako mda hupo bado na unaruhusu nyie wawili kupata solution kama kweli mnapendana lakini hilo la kumzalia mtoto kama zawadi its not a good idea.
 
my 2 cents,

kwanini amzalie kama hawna mpango wa kuoana? utafikiri mtoto ni paka ...jukumu la kumlea itakuwa la nani? kumbu kumbu ya nini hiyo??? watu bwana!!!! aghhr
 
[I said:
ndugu wa mwanaume hawamtaki huyo dada kwa vile alishawahi kuolewa akaachika.wanataka ndugu yao aoe msichana.ndugu wa mwanamke nao kusikia hivyo wakaja juu kwamba kama ndugu wa mwanaume hawakutaki, basi kaa hivyohivyo.[/I]



.
Kumbe sio wewe?
Poa.Ni kweli hayo huwa yanatokea tena sana.Mpe pole sana huyo dada.Hata hivyo mapenzi ni kati ya watu wawili na kama maandiko matakatifu yanavyosema kuwa tuwatii wazazi katika mema tu.Huyu dada aliolewa na mtu ambaye hakumpenda ndio maana wakaachana.pendo halilazimishwi.Kama kweli anampenda huyu dada basi kaka naye atakubaliana na dada kuwa kwa kitambo tu itabidi wakubaliane wao wenyewe na kufikia muafaka wa kufunga ndoa baadaye wazazi watawaelewa lakini kaka kama anaona sawa kutokuoana ajue hiyo ni indicator ya wazi kuwa kaka anataka tu kumchezea.Ni kama wale wanaume wahuni lakini hawataki wake zao watembee nje ya ndoa.Mfumo dume wao tu ndio wenye haki ya kuwa na rafiki wa nje lakini not both.sasa huyu anaona akishamzalisha hata kama yeye ataoa huyu mwanamke ataendelea kuwa naye tu kwa kisingizio kuwa wanapendana sana lakini wazazi ndio wamekataa tusiishi pamoja lakini awe mtu wake wa nje ya ndoa.Haya ni maoni yangu yaani nionavyo mimi japo inaweza ikawa sivyo.Ninachomshauri huyu dada ni kuwa asikubali kurubuniwa kwa kudanganya kuwa anapendwa.Walishapendwa wengi wa mfano wake.Lakini kama ana nia ya kweli ya kuoa hatakubaliana na vizuizi vya wazazi bali ataambatana na huyo dada na baadaye wazazi watachukua nafasi ya pili.Wazazi wa mwanamke wanaonekana kuelewa kuwa huyu anaghilibiwa kwani kama anakataa kuoa basi hamfai bint yetu.KUolewa na kuachwa ni sehemu ya maisha labda kama aliolewa harusi na wakafunga ndoa na wazazi hawataki migongano ya kifamily kwani hasa kama ni mkristo ndoa ni hadi kifo huwezi kuolewa na mwanaume mwingine ni marufuku kabisa lakini kama ni mambo ya gizani ni ruksa.kama wazazi ni wakristo labda ndio maana wanasema haya kuwa aoe msichana akimaanisha mtu ambaye hajapata kuolewa na kujifunga kisheria na kidini.Labda nimuulize huyu mleta taarifa hii kuwa je anajua kisa cha kuachwa ama iwapo alishawahi kuolewa kisheria ?yeye ni Mkristo au mwislamu kwani kuna tofauti kubwa sana kati ya watu hawa japo wote ni binadamu
 
Hivi unachokiandika unakielewa? Ndugu, usijidanganye kuwa eti kama pande mbili zinagoma wewe unawashuri go a head.....sikubaliani na wewe maana mkioana mnaishi ndani ya utaratibu wa jamii, mnaishi na ndugu.....kwanini usiwashauri wawaelekeze ndugu wakubali then waowane. Binafsi nadhamini uwepo wa ndugu katika kuchangia furaha yangu, itategemeana ni jinsi gani naongea na kuishi nao.....There exist no isolated marriage. Well inawezekana sielewi nachoandika kama wewe, ila kamwe usije mshauri mtu a go ahead with a marriage ambayo wazazi hawaipendi.....kuwa muangalifu JS.................lol

sijakataa kwamba familia haina nafasi lakini nafasi yake ni ndogo tuu. pia jamii nayo inayokuzunguka ina nafasi ndogo sana katika maisha yako ya ndoa. so many times na nimeshaona live katika maisha yetu ya kila siku mtu anaacha yule anayempenda anenda kufunga ndoa na mtu tofauti kwa sababu eti familia imepinga yule mwingine. mwisho wa siku ndo mambo ya kutokuwa na furaha ndani ya nyumba. kila kitu kwa kiasi si kwa sababu familia haimtaki huyu na wewe ndo uwasikilize unless they have a concrete reason as to why na kama kuachika tu ndo sababu i dont buy that as reason. LOVE and UNDERSTANDING, RESPECT between two people matters a lot and not what other people say ndo unachukulia final. mambo hayaendi hivo maisha ya siku hizi. UTAISHIA KUFURAJISHA WENGINE WEWE UBAKI NA HUZUNI MOYONI.
 
huyu mdada anavyolitafcr penzi la huyo mwanaume wake kwake ni tofauti na mwanaume anavyofanya, huyu mwanaume angekuwa anampenda kikweli huyu mdada acngewackiliza hao ndugu mana yeye ndio atakaeishi na huyo mke na ni chaguo lake kutoka moyoni, huyo mkaka bado yupo yupo tu hana muelekeo wasasa.

Mrs, ndo nimewmambia ajaribu kuwa mwanaume..si unajua wanaume wengine ni suruali tu..nyie ndo mnawajua zaidi? otheriwise kama ulivosema huyo mwanaume hampendi ki ivyo!
 
Huwa nasikitika sana wadada tunapokuwa wepesi wa kushawishika na maneno ya kaka zetu hawa. mdada anaamini kabisa jamaa kamzimia. anyways love is blind, so the saying goes.
Ninavyo mimi, hapo hakuna cha wazazi kukataa wala nini, huyu jamaa anatafuta njia ya kumtoka huyu dada, this happens ikiwa anashindwa amtokeje, ofcourse kuwablame wazazi ni rahisi kuliko muhusika mkuu, sorry but it happens.I have seen this, hii ni njia rahisi ya kumkwepa mtu aliyekuwa anategemea ndoa na wakati wewe humpendi for marriage, if am not right wakaka njooni mseme, hata wadada hutumiaga sana hii njia, am one of them unfortunately as niliitumia kumdiss mtu ambaye alikuwa kaniganda kama luba while i didnt want to marry him.
Kwenye swala la mtoto sasa, dont even think about that, msiwe selfish, what about the kid? yeye mtamuandalia maisha gani ya kuishi na single parent kwa kujua kabisa, bora iwe bahati mbaya, anaweza kunyanyaswa na mama wa kambo au baba wa kambo, there is no need and please dont buy his idea, utajakumbuka wakati yeye kalala na mkewe wanakula guudtime wewe unahangaika mwenyewe kulea bila msaada, n for what? yeye kwani kashakupa zawadi gani ya ukumbusho, kakujengea hata nyumba ya kuishi na huyo mwanae unayetaka kumzalia? maana angalia factors nyingi, i know you are in love but think hard. all the best.
 
[COLOR=Blue said:
yeye kwani kashakupa zawadi gani ya ukumbusho, kakujengea hata nyumba ya kuishi na huyo mwanae unayetaka kumzalia? maana angalia factors nyingi, i know you are in love but think hard. all the best.[/COLOR].

hii ni kweli kabisa.Tusidanganyike.Wanawake amkeni acheni kudanganywa .Hukumbuki watu zamani sijui sasa walikuwa wanasema nakupenda sana hata sili silali nakuota nakuona kwenye glass kumbe uongo mtupu anapata goodtime zake wala hayuko na wewe kimawazo.

Mwambie huko anakokwenda ndiko ulikotoka na ndio maana umeona utata ukaleta huku jikoni basi kataa uongo wa mafisadi.Ni aina nyingine ya ufisadi wa mapenzi.
 
USHAURI- Usikubali kuzaa na huyo jamaa, utakuwa ume narrow chance yako ya kupata mwanaume mwingine maana sisi wanaume, mwanamke ukishakuwa na mtoto DAH! hawatakukataa kama HAO sasa huko kwingine WATAKUFUKUZA-Pili huyo jamaa asikufanye kama kiburudisho eti MZAE kama kumbukumbu ya PENZI LENU haa!! huyo jamaa anaweza pata mwanamke mwingine akambana akabanika na kukusahau wewe na MTO wako na hata kumkana huyo mtoto, wanaume ni wepesi wa kusahau hata kukana vile vile. Usimng'ang'anie huyo jamaa najua roho inauma sana kwenye mapenzi lakini jua kuna mtu mwingine yupo somewhere anakufikiria wewe so piga moyo konde, vuta time changa karata zako vizuri subiri utapata tu mwenzi wa kukuoa MBONa wapo waliozaa hata watoto wawili lkn wakaolewa tena!
 
Back
Top Bottom