Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 353
Jumamosi ya tarehe 14 hakika tutaona pambano la mwaka la masumbwi katika uzani wa walterweight kati ya mpueto rico Miguel Cotto na pound for pound King- Manny Pacquiao.
Sidhani kama Pacman amewahi kuwa na pambano gumu kushinda hili, Cotto ni very strong pysically na ana ngumi nzito, sina hakika sana na stamina yake, katika pambano lake la mwisho dhidi ya Clottey japo alishinda kwa points lakini wote tuliona jinsi alivyostruggle na aliruhusu ngumi nyingi kuingia.
Nategemea speed ya Pacman na uzito wa ngumi zake zinazotoka kila kona utampatia ushindi wa points au KO katika rounds za jioni. Naomba sana ashinde huu mpambano ili mwakani tuone mpambano wa karne kati yake na Money Maywether. Lakini kama ushindi utakuwa ni wa Cotto- ni lazima itakuwa KO ya mapema, akizubaa hadi pambano lifike round ya sita atapigwa.