COTECNA na TISCAN: IPTL nyingine?

Ni ya zamani lakini ni mpya!, Ufisadi kila kukicha mpaka watu wamekata tamaa kabisa
 
"FairPlay"

Ni kweli, infact inajulikana toka zamani kuwa huu mkataba una utata kama IPTL, TICTS na mingineyo mingi iliojaa rushwa.

Ndio siri ya umaskini wetu na kutokuwa na maendeleo!
 
enyi ndugu zangu WAGENI

Hii ndo ilikuwa JAMBOFORUMS

Wakati huo zilikuwa zinashuka NONDO TU.....
 
Back
Top Bottom