COTECNA na TISCAN: IPTL nyingine?

tuko pamoja FD,,TULIANZISHENI ...HUU NDIO MUDA WENYEWE TUONE WAHUNI NI WAKINA NANI,.......
 
Wana JF,

Nimetumiwa e-mail nyingine yenye kichwa hicho cha habari. Nimeamua kuhifadhi jana la Mzalendo huyo lakini naamini baadhi yenu mmeshapokea skendo hii. Hivi ndivyo viongozi wetu tuliowaamini wanavyotufanyia-USALITI! Tuwafanyeje?

MIZENGWE MINGINE YA KUUZA NCHI YAFICHULIWA

Wadau,

Pata ufisadi mwingine wa TISCAN na TRA hapo chini.
Abbreviations za BWM na EL, hope wote mnazielewa.
Hiyo ndiyo "Nchi ya Changa la Macho".

Hili la TISCAN linafahamaika vizuri sana na BWM
aliamua kwa ujeuri wa hongo baada ya kupewa
recommendations na rafiki yake Jerry Rawlings wa Ghana
, na kuamua against the recommendations of his own
intelligence officers. BWM alipelekewa hiyo ripoti
kuhusu mbinu na tabia za COTECNA ambao wanajiita TSCAN
na ripoti ilieleza kwa undani mbinu chafu za Cotecna
failures zao kule Ghana ,
http://www.thestate smanonline. com/pa... =1&newsid= 4509
na Senegal , pamoja na hongo za kumhonga Kofi Anan kwa
kupitia kijana wake - Iraq 's Food-Oil program.
TISCAN ni jina bandia linatumika na COTECNA kuficha
madhambi yake, na representative wao Tanzania (former
katibu mkuu) ndiye aliwaambia wabadilishe jina na hii
baada ya ku-tender kama COTECNA. Kwa hivyo technically
TISCAN NEVER tendered for Container Scanning Services
na TRA, Central Tender board wanajua hili .
Baada ya BWM kupewa ripoti na makachero wake yeye
badala ya kuamua akawatupia mpira TRA na kuwaambia wao
TRA waamue la kufanya. TRA pia waka amuriwa kupitia
wizara ya fedha Yona akiwa waziri,waende wakaone
shughuli za container scanning zinavyofanywa Ghana ,
kumbe ni mpango wa COTECNA through BWM.
The Commissioner General of TRA wakati huo marehemu
Sanare, baada ya kuelezwa madhambi ya COTECNA akaweka
ngumu na kusema hawa Cotecna hawapati hiyo contract.
Masikini kumbe Sanare kajichongea, kwa vile wahenga
wasema "penye fedheha penyeza rupia". Kumbe zengwe
likawa linapikwa Sanare aondolewe TRA, kwa vile yeye
ndiye analeta kauzibe, wakati list yote ya wazito pale
Mapato House na Matumizi House wameshalainishwa! Basi
Sanare ikabidi ahamishiwe PM's office. Sasa kabla ya
Sanare kuondoka akambiwa pesa hizi hapa mzee, weka
mkono mambo yaende mbele.Wewe unaondoka, mkataba
utasainiwa na pesa utazikosa. Sasa amua kusuka au
kunyoa! The last contract Sanare signed before he left
the office was Cotecnas contract pamoja na hilo jamaa
wakamtolea nje. Kwa kumkomoa zaidi, wale aliokuwa
amewafanyia kauzibe TRA, wakaamua kumnyan'ganya hata
gari lake na kutaka kumfukuza kwenye nyumba hadi EL
akaingilia na kuamua kumuuzia nyumba wakati yuko
mahututi! Sanare amekufa na frustrations za
kunyanyaswa na wenzake TRA kwa vile alikataa kucheza
dili zao !

Issue ya TIScan siyo siri wala lolote, data zote zipo
na zinajulikana, zengwe lililochezwa hata usalama wa
taifa wanalijua na walimweleza BWM kama rais atoe
uamuzi lakinia he acted otherwise. Yaania hata VIN
number ya hilo gari lao la Scanning inajulikana. Liko
re-fubrished kwa vile baada ya kupinduka Ghana
lilipelekwa Ujerumani kukarabatiwa. Bei ya hilo gari
imezidishwa zaidi ya mara tatu ya jipya wakati ni
used. Halafu la kusikitisha ni kuwa undeshaji wa
scanner hiyo TRA officials hawausiki. Risk management
and assessment na profiling of importers TRA kwao ni
ndoto wanawategemea TISCAN!

Lingine linaloudhi ni hili, TIScan are supposed to do
Destination Inspection na hii ndiyo ilikuwa kigezo cha
kuanzisha hiyo scanning. This was supposed to replace
Pre-Shipment Inspection. Hadi leo hii vyote vinafanywa
na kampuni hiyo hiyo, TISCAN + COTECNA. Wewe leo
unatumia pesa zako ulizozihenyea huku nje, na ukatuma
mzigo wa vitabu ambao haulipiwi kodi lakini bado
utalipishwa 1.2% ambayo TScan wanapewa 0.8% kwa nini.
Did you know that TISCan collects 0.8% of the value of
all imports to Tanzania and it is the LAW !!! na 0.4%
wanachukua BOT! Na TISCAn wana mkataba wa miaka 10+!!
Amakweli nchi imeuzwa! Tunayasikitikia ya BOT, TRA ni
balaa!

'the most important part of knowledge is having reverence for the lord'
proverbs 1:7.
 
Ibrah nimeona hii mizengwe,

Unajua kama hukawahi kuwa affected na TISCAN huwezi kuona, ukileta kagari kako hapa bongo hata kama ulipewa bure huko Japan wao wanaweka bei zao.

Sielewi nini maana ya watu kutengeneza Bill of Lading kwani wao wanaweza kukubaliana na bei au kukubali. Yaani wanafanya hivyo ili kujastify uwepo wao lakini ni wezi tuu. 1.2% ni kubwa sana wajameni.. Halafu bora hata hizo hela zingekuwa zinatumika ipasavyo wala roho isingeuma ila ndio hizo zinatumika kuhonga dada zetu magari ya kifahari na kuwajengea nyumba.. Barabara zetu zinazidi kuwa mbaya kila kukicha, lakini kila ukigeuka kodi.. TRA kuna shida lazima fagio la chuma lipite pale
 
Wana JF,

Nimetumiwa e-mail nyingine yenye kichwa hicho cha habari. Nimeamua kuhifadhi jana la Mzalendo huyo lakini naamini baadhi yenu mmeshapokea skendo hii. Hivi ndivyo viongozi wetu tuliowaamini wanavyotufanyia-USALITI! Tuwafanyeje?

MIZENGWE MINGINE YA KUUZA NCHI YAFICHULIWA

Wadau,

Pata ufisadi mwingine wa TISCAN na TRA hapo chini.
Abbreviations za BWM na EL, hope wote mnazielewa.
Hiyo ndiyo "Nchi ya Changa la Macho".

haha BMW ni BENJAMINI WILLIAM MKAPA- We dare to talk openly!!!!! mbona mnarudi nyima

Wakuu nataka kujua kwani huyu jamaa bado ana kinga tuu ya kutoburutwa mahakamani???

jamani sasa this is too much, hebu tuamkeni na tufanye kitu, maneno tuu wameshayazoea hawa
 
hivi huyu Mkapa pesa zote hizo anapeleka wapi

kila skendo yumo

bad

Kuna viumbe (sijui kama ni neno muafaka - lakini hata wanyama ni viumbe),hawatosheki naamini siku ya kumzika Mkapa utahitajika udongo mwengine wa kufukia kaburi lake kwani kama alivyokuwa hakutosheka duniani basi hata akiingia kaburini hatotosheka.
 
WanaJambo heshima mbele......

sawa naona hawa jamaa wa Thisday wamekata mzizi wa fitna leo, bofya hapa:

http://www.thisday.co.tz/News/3506.html

Inaonekana kuwa BWM kweli alikuwa katika kutjitafutia retirement scheme mpaka ya vitukuu na vining'ina manake duh si mchezo....

Haya wengine wanaitwa Mafisadi, na hawa wataitwaje jamani???
 
Naiweka wazi tu humu.........

Mramba, Karamagi also closely involved

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

FORMER president Benjamin Mkapa personally ordered the dubious extension of the Tanzania International Container Terminal Services (TICTS) contract by a staggering 15 years just a month before the end of his second and final term in office in 2005, THISDAY can reveal today.

Investigations by THISDAY have established that in September 2005, Mkapa instructed the then Ministry of Communications and Transport to extend the contract of the private operator leasing operations of the container terminal at the Dar es Salaam port from the initial 10 years to 25 years.

At the time the contract extension was ordered by the then president, the privately-owned TICTS was in only the fifth year of the original 10-year contract signed in September 2000.

However, halfway before the contract officially expired, ex-president Mkapa ordered that the company be given a 15-year extension, thus increasing the contract duration to 25 years.

This means that TICTS was granted exclusive rights by the former president to lease operations at the Dar es Salaam port’s container terminal until the year 2020.

Apart from authorising the contract extension, Mkapa also ordered authorities to allow TICTS to use Berth number 8 and its adjacent land at the port.

Furthermore, the former president also granted the private company access to the Ubungo container depot to store excess containers that cannot be accommodated at the port due to constraints of storage space.

THISDAY has further learnt that the then Minister for Finance, Basil Mramba, instructed relevant government authorities to implement Mkapa’s directives with immediate effect in 2005.

The former president’s instructions were formally communicated by Mramba to several senior government officials, including the then Minister for Communications and Transport, Prof. Mark Mwandosya; the Commissioner General of the Tanzania Revenue Authority (TRA), Harry Kitillya; and the Treasury Permanent Secretary, Gray Mgonja.

Various government officials who spoke to THISDAY on condition of not being named described the contract extension given to TICTS as ’’illegal.’’

’’This was completely against the law and contrary to the government’s own regulations and procedures. Under normal circumstances, a contract cannot be extended until the initial period of the duration of the contract is concluded,’’ said one informed government source.

According to the source, prior to extending the contract, a thorough assessment should have been made of TICTS’ performance, and a ’’transparent and competitive’’ public tender process should have been followed by inviting private companies to bid for the contract.

A number of powerful politicians, including the former Minister for Energy and Minerals, Nazir Karamagi, who resigned last week over the Richmond corruption scandal, are reported to be among shareholders in TICTS.

The dubious contract extension was made while TICTS was under heavy criticism for poor performance, causing a massive congestion of containerised cargo at the Dar es Salaam port.

The private company has also been criticised for failing to make any significant investment in equipment to improve the port’s infrastructure and boost efficiency.

Members of parliament have frequently demanded answers from the government on how the TICTS contract was extended under such questionable circumstances.

They include Anne Kilango Malecela (Same East-CCM), a member of the parliamentary infrastructure committee, who has been particularly vocal about the dubious contract extension.

An outrage over the controversial contract extension was re-ignited in parliament only last week when MPs demanded some serious answers from the government.

The Minister for Infrastructure Development, Andrew Chenge, was obliged to assure lawmakers that the government would review the TICTS contract.

Both the Tanzania Shipping Agents Association (TASAA) and the Tanzania Freight Forwarders Association (TAFFA) have recently heaped blame on TICTS for inefficient operations at the Dar es Salaam port, said to be driving business to Mombasa and elsewhere in the region.

According to TASAA and TAFFA, TICTS has not invested enough in infrastructure like gantry cranes and trucks to offload containers from ships and carry them to Berth 8 at the port and the Ubungo Inland Container Depot.

TICTS has, however, vehemently dismissed the allegations, saying it has indeed invested heavily in the said infrastructure but the problem is an unexpected surge in the number of containers being handled by the port, from 250,000 to over 350,000 containers last year alone.

The TASAA Chairman, Emmanuel Mallya, told THISDAY recently that about 50 per cent of ships have reduced their number of calls to Dar es Salaam because of the port’s inefficiency.
 
Mambo yakishaanza kuwakalia shingoni ndiyo wanajifanya wasemaji wakuu. Jamani,hivi tuna viongozi wanao kaa na kufikiri vizuri kabla ya kutoa maamuzi? Huwa nasema vita iliyoko nchi hii afadhali ile ya Rwanda,maana mtu anakuuwa huku wamuona ni fulani kuliko hili la kutafunana kimya kimya kizazi baada ya kizazi. Zaja siku ya Kenya yatatokea nchi hii
 
Lazima hizi nazo ziundiwe tume, tena huru zijumuishe wajumbe wa vyama vyote. Haya mahela yote waliyoiba saa hizi tusingekuwa na haja ya vihela vya masharti na kusimangwa kichaka. Yaani jana nimesikitika sana Raisi wetu anasimangwa kama mtoto mdogo kwa uomba-omba wetu. Bush alimwambia ""The USA does not like to give money to people that steal money" Duhh, si kusimangana huku kunakosababishwa na hawa wizi wa kiTaifa!
 
Sasa hivi ambayo ipo kwenye Chati ni skendo gani jamani? EPA imeshakufa...

Tutafuteni mpya tujadili weeeeeee mwishoni serikali inasema kuwakamata wahalifu hawa kutaitishia nchi usalama!
 
ipo tena kubwa ingine, DIRECT TRADER INPUT, au DTI. Ile kampuni inayofanya data entry, necor data inasemekana ni ya ULAJI wa wakubwa wa TRA na jamaa fulani serikalini. Sio tu haina contract bali pia kwamba CONTRACT ni ya kampuni ya nje ambayo imenyanganywa kazi na kunyimwa malipo KIAINA. Pana mambo hapa!!
 
Naiweka wazi tu humu.........

Mramba, Karamagi also closely involved

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

FORMER president Benjamin Mkapa personally ordered the dubious extension of the Tanzania International Container Terminal Services (TICTS) contract by a staggering 15 years just a month before the end of his second and final term in office in 2005, THISDAY can reveal today.

Investigations by THISDAY have established that in September 2005, Mkapa instructed the then Ministry of Communications and Transport to extend the contract of the private operator leasing operations of the container terminal at the Dar es Salaam port from the initial 10 years to 25 years.

At the time the contract extension was ordered by the then president, the privately-owned TICTS was in only the fifth year of the original 10-year contract signed in September 2000.

However, halfway before the contract officially expired, ex-president Mkapa ordered that the company be given a 15-year extension, thus increasing the contract duration to 25 years.

This means that TICTS was granted exclusive rights by the former president to lease operations at the Dar es Salaam port’s container terminal until the year 2020.

Apart from authorising the contract extension, Mkapa also ordered authorities to allow TICTS to use Berth number 8 and its adjacent land at the port.

Furthermore, the former president also granted the private company access to the Ubungo container depot to store excess containers that cannot be accommodated at the port due to constraints of storage space.

THISDAY has further learnt that the then Minister for Finance, Basil Mramba, instructed relevant government authorities to implement Mkapa’s directives with immediate effect in 2005.

The former president’s instructions were formally communicated by Mramba to several senior government officials, including the then Minister for Communications and Transport, Prof. Mark Mwandosya; the Commissioner General of the Tanzania Revenue Authority (TRA), Harry Kitillya; and the Treasury Permanent Secretary, Gray Mgonja.

Various government officials who spoke to THISDAY on condition of not being named described the contract extension given to TICTS as ’’illegal.’’

’’This was completely against the law and contrary to the government’s own regulations and procedures. Under normal circumstances, a contract cannot be extended until the initial period of the duration of the contract is concluded,’’ said one informed government source.

According to the source, prior to extending the contract, a thorough assessment should have been made of TICTS’ performance, and a ’’transparent and competitive’’ public tender process should have been followed by inviting private companies to bid for the contract.

A number of powerful politicians, including the former Minister for Energy and Minerals, Nazir Karamagi, who resigned last week over the Richmond corruption scandal, are reported to be among shareholders in TICTS.

The dubious contract extension was made while TICTS was under heavy criticism for poor performance, causing a massive congestion of containerised cargo at the Dar es Salaam port.

The private company has also been criticised for failing to make any significant investment in equipment to improve the port’s infrastructure and boost efficiency.

Members of parliament have frequently demanded answers from the government on how the TICTS contract was extended under such questionable circumstances.

They include Anne Kilango Malecela (Same East-CCM), a member of the parliamentary infrastructure committee, who has been particularly vocal about the dubious contract extension.

An outrage over the controversial contract extension was re-ignited in parliament only last week when MPs demanded some serious answers from the government.

The Minister for Infrastructure Development, Andrew Chenge, was obliged to assure lawmakers that the government would review the TICTS contract.

Both the Tanzania Shipping Agents Association (TASAA) and the Tanzania Freight Forwarders Association (TAFFA) have recently heaped blame on TICTS for inefficient operations at the Dar es Salaam port, said to be driving business to Mombasa and elsewhere in the region.

According to TASAA and TAFFA, TICTS has not invested enough in infrastructure like gantry cranes and trucks to offload containers from ships and carry them to Berth 8 at the port and the Ubungo Inland Container Depot.

TICTS has, however, vehemently dismissed the allegations, saying it has indeed invested heavily in the said infrastructure but the problem is an unexpected surge in the number of containers being handled by the port, from 250,000 to over 350,000 containers last year alone.

The TASAA Chairman, Emmanuel Mallya, told THISDAY recently that about 50 per cent of ships have reduced their number of calls to Dar es Salaam because of the port’s inefficiency.

Tamaa nyingine wala hazina maana zaidi ya balaa,sasa najiuliza hawa watu hizi pesa zote wanapeleka wapi? kwani wataishi milele? maana nikiangalia umri alionao BWM na haya mambo yanayomuandama yaani nashindwa kuelewa,au ni ugonjwa?
 
Kweli duniani kuna mambo!!!! huyu mwandishi dc wa korogwe mimi namfahamu fika kwanza bado yuko na mume wake jana leo, yaani huwa nawaadimire wanavyoishi ni jirani zangu pale tegeta. lakini pia ile nyumba kajenga yeye na mume wake wakati huo mume akifundisha mpira uarabuni alikuwa anamtumia midola yake wakajenga nyumba!!! si ajabu kwa wao kuwa na nyumba kama ile!!! mbona wameijenga kwa kipindi cha miaka kumi na wana watoto wawili tuuu? Ila wabongo nimewavulia kofia kwa MIJUNGU!!!!!!
 
Wabongo ndo maana hamuendelei, hilo la dc wa Korogwe uzushi ulio uchi..... nendeni Tegeta anakoishi huyo mama na mumewe ndo mtakapothibitisha UMBEYA WENU USIO NA AIBU!!! Kujenga nyumba ya ghorofa kwa mwandishi ni kitu cha ajabu? Mnamdhalilisha mumewe wakati wamejenga nyumba hiyo pamoja na mkewe na hamjui ni jinsi gani walijinyima wakajenga hiyo nyumba, mtakalia hayohayo loh!!!!eti wewe jasusi unajifanya uko majuu lakini mnayajua ya bongo hovyo yaani hayo maneno ya kipumbavu ya kufuatilia watu....nina mashaka na huko majuu unakoishi iko siku utasutwa au kuvalishwa ushanga kiunoni!!!!!!!
 
hivi mbona kila nikitoa maoni yangu humu siyaoni baadae? au ndo mbinu za wamiliki wa jf wanazifuta kwa manufaa yao? INAUDHI!!!!!
 
wanajamvi jana nilipost thread katika forum ya sheria nikiomba mwenye nakala ya mkataba kati ya Tanesco na IPTL anisaidie ila sijafanikiwa, nimeona nipost katika hii thread pengine ninaweza kupata mwenye nao. Naombeni msaada wadau nahitaji nakala hii sana
 
post sehemu nyingine unaweza pata mwenye nao.huku ulikopost ni kitambo na hao tiscan-cotecna waliisha ondoka kitambo.mafanikio mema.mia
 
Back
Top Bottom