Futota
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 521
- 87
- Thread starter
- #21
MTOTO AKILILIA WEMBE MPE! wa dukani si mzuri tengeneza mwenyewe na utatumia mahtaji yafuatayo:- carolite,jic,vim,maji bater(acid) changanya na sabuni ya nanii hii jaribu+mekako paka kutwa mara 3.
poa, nashukuru kupata hizi ingredients za mkorogo, ila swali linalofuata ni hakuna vipimo? mfano kiasi gani cha maji ya betri kinahitajika, isije nikawa natengeneza bomu hahaha, (nimekumbuka kule ughaibuni nyumba zenye meth labs LOL)