Cosmetic creams au dawa za kutoa weusi

Futota

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
521
87
Jamani, nisaidieni ninunue dawa gani au cosmetic creams gani effective za kuondoa huu weusi wa ngozi wa kuzidi katika makwapa, magoti, elbows, and in-between the thighs? Yaani, hii inanisumbua, nipo radhi hata kupaka mgorogo. Natanguliza shukran
 
Pole sana kwa hilo, ila nakushauri uende hospitali ukaonane na dokta wa ngozi ila usitumie mkorogo kwani waweza sababisha pakawa peusi mara mbili ya hapo.
 
nataka kujaribu kwanza hizi cosmetic creams au dawa zinazopatikana over the counter (hazihitaji doctor's prescription), nione inakuwaje. huu sio ugonjwa wa ngozi ni suala la urembo kutaka ngozi pale peusi pawe rangi ya kawaida
 
Hey hebu jivunie rangi yako nyeusi popote ilipo sababu ndio uafrika wako huo...Weupe ungekuwa mali, ubuyu ucngepakwa rangi..Ckushauri u2mie kemikali zozote za kukupa weupe.
 
ushauri wako upo, ila mimi roho inataka hivyo, ndivyo navyopenda nipo radhi kugharamika ili nifanikishe hili, sehemu hizi za mwili wangu zipo na rangi tofauti na sehemu nyinginezo, hivyo inatoa mtazamo mbaya, nataka niwe na even skin tone, and color.
 
kwani rangi yako ya ngozi ya asili ni ipi? Huo weusi unaouzungumzia ni wa asili au ulisababishwa na kitu?? Kama weusi ni rangi yako ridhika na jikubali mpendwa.
 
nataka kujaribu kwanza hizi cosmetic creams au dawa zinazopatikana over the counter (hazihitaji doctor's prescription), nione inakuwaje. huu sio ugonjwa wa ngozi ni suala la urembo kutaka ngozi pale peusi pawe rangi ya kawaida

Hapo kwenye red hapooo, kumbe rangi nyeusi si rangi ya kawaida? Na je hiyo ya kawaida ni rangi gani? Dawa ya kutakatisha madoa sugu, kwenye magoti, kwapani na sehemu hizo ulizozitaja, ni usafi tuu. kama unapooga husugui magoti yako na miguu sawia/ au kwapa lako hlioshi vizuri(au unanyoa kwa kutumia nyembe butu), hali hiyo itakutokea. Jaribu kutafuta ogeo (dodoki) laini, na unapooga hakikisha unasugua maeneo hayo kwa umakini, then kausha na paka lotion yenye hydrant ili kuzilainisha, baada ya muda utayaona mafanikio, kabla haujakimbilia hizo cream. Kuhusu mapaja well, tafuta skin tight laini il kupunguza msuguano wa ngozi. hii ni applicable kama ngozi yako ya asili ni ya weupe (brown) na kama weupe ni wa kujichubua, tafuta mkorogo tuuu.

NB: wacha kutumia mkorogo ni hatari kwa afya yako+unakushushia hadhi na thamani yako
 
Aisee,Futota kwa hiyo unataka ukate pua ili uunge wajihi?Ila ukumbuke kuwa ukitaka uzuri sharti udhurike....Umejiaandaje katika hilo?Na je umeishafahamu madhara madhara yake baada ya kujichubua?
Mimi binafsi nitaendelea kukushauri kutojibadili rangi yako ya asili...Jivunie jinsi ulivyo wala ucpende kuwa km wengine sababu ndivyo ulivyoumbwa.....Nafikiri umenipata.
 
kama mkorogo unatibu paka sasa.

ndiyo naweza kupata hata mkorogo, nautafuta unapatikana maduka yepi?
huwa nasikia wapo akina dada wana mitambo ya kutengeneza manyumbani, nako pia naweza kufika nikielekezwa
 
Bhokem, mwambie huyo anafikiri mkorogo ni sifa...Kumbe ni ujinga.
 
Hapo kwenye red hapooo, kumbe rangi nyeusi si rangi ya kawaida? Na je hiyo ya kawaida ni rangi gani? Dawa ya kutakatisha madoa sugu, kwenye magoti, kwapani na sehemu hizo ulizozitaja, ni usafi tuu. kama unapooga husugui magoti yako na miguu sawia/ au kwapa lako hlioshi vizuri(au unanyoa kwa kutumia nyembe butu), hali hiyo itakutokea. Jaribu kutafuta ogeo (dodoki) laini, na unapooga hakikisha unasugua maeneo hayo kwa umakini, then kausha na paka lotion yenye hydrant ili kuzilainisha, baada ya muda utayaona mafanikio, kabla haujakimbilia hizo cream. Kuhusu mapaja well, tafuta skin tight laini il kupunguza msuguano wa ngozi. hii ni applicable kama ngozi yako ya asili ni ya weupe (brown) na kama weupe ni wa kujichubua, tafuta mkorogo tuuu.

NB: wacha kutumia mkorogo ni hatari kwa afya yako+unakushushia hadhi na thamani yako

sio kama sijui kuoga, hapana mimi huoga (shower) na kujisugua vizuri tu (mara 2) kwa siku na maji ya uvuguvugu, na wikiendi nafanya kuoga kwenye bathtube with bathing salts nk. na ngozi yangu ni laini, tatizo ni rangi ya weusi kuzidia hizo sehemu. Asilia rangi yangu ni maji ya kunde. hivyo basi nishaurini nipake cosmetic creams zipi kurudisha ngozi rangi ya kawaida? akina dada wataalam hapa JF msaada tafadhali. (BTW navaa boxers juu ya chupi, sihitaji tights)
 
Bhokem, mwambie huyo anafikiri mkorogo ni sifa...Kumbe ni ujinga.

jamani, wacha mtu afanye kile roho inapenda, nahitaji huo mkorogo kwa matumizi yangu na kwa vile nimeona matokeo kwa wengine (ambao husemwa kuwa wametumia mkorogo) napata imani kuwa utaweza kuondoa hilo tatizo langu. sasa basi nahitaji maelekezo tu ni wapi unapatikana (kama ni wa kununua), au labda dawa nyinginezo tafadhali
 
ungewauliza hao wengi uliowaona.
 
Aisee,Futota kwa hiyo unataka ukate pua ili uunge wajihi?Ila ukumbuke kuwa ukitaka uzuri sharti udhurike....Umejiaandaje katika hilo?Na je umeishafahamu madhara madhara yake baada ya kujichubua?
Mimi binafsi nitaendelea kukushauri kutojibadili rangi yako ya asili...Jivunie jinsi ulivyo wala ucpende kuwa km wengine sababu ndivyo ulivyoumbwa.....Nafikiri umenipata.

Huo ni ulevi mwingine,balaa kuliko pombe. Madhara yanafahamika lakini kwao kuachana nao ni another issue!
 
Weeh binti utakuja mfilisi mwanangu! Badala ya kumuambia umtengenezee mkorogo unaacha kuchangamkia tenda! Ebooo!
Futota mwaya, ni-pm lokesheni yako nikuletee mkorogo, unataka debe ngapi? Ila punguza kupiga magoti, yatakuwa kama ya bebii!
ungewauliza hao wengi uliowaona.
 
Back
Top Bottom