Corruption SCANDALS at TTCL

Hiyo sio Mwandoysa mwenyewe baraza la mawaziri ya serikali ya awamu ya tatu ilibariki ubinafsishaji wa TTCL
Mkuu acha kutetea uji si kila kitu kinafanyika kwenye cabinet maamuzi mengine ni ya waziri kulingana na katiba tulionayo waziri anaweza kukaa na katibu wake na wakurugenzi na kufsnya jambo lolote wanaloona wao linafaa .ukiangali hii scandle utaona ni madili na CAG na body na watendaji wengine
 
Toa ushahidi. Bila ushahidi haya maneno yatakuwa majungu
Kutoa ushahidi kwa raia ni kumziba mdomo.
Wacha aseme awezavyo. Wewe mwenyekuhitaji vielelezo na ushahidi, anza kumchunguza huyo Mwandosya. Ili ukiupata ukweli uje na comments zako kututhibitishia kuwa mhusika unayemkingia kifua, hajatenda 1,2,3.
 
Mkuu acha kutetea uji si kila kitu kinafanyika kwenye cabinet maamuzi mengine ni ya waziri kulingana na katiba tulionayo waziri anaweza kukaa na katibu wake na wakurugenzi na kufsnya jambo lolote wanaloona wao linafaa .ukiangali hii scandle utaona ni madili na CAG na body na watendaji wengine
Pamoja na mimi kutetea uji na wewe tumia akili Inawezekanaje TTCL ipoteze umiliki wa Airtel bila baraka ya uongozi wa juu wa awamu ya tatu.
Kutoa ushahidi kwa raia ni kumziba mdomo.
Wacha aseme awezavyo. Wewe mwenyekuhitaji vielelezo na ushahidi, anza kumchunguza huyo Mwandosya. Ili ukiupata ukweli uje na comments zako kututhibitishia kuwa mhusika unayemkingia kifua, hajatenda 1,2,3.
 
Subiri ngosha afanye mavituz yake.........!!
Watanyooka tu......chezea sukumaland wewe....!!
Sioni kama ngosha atafanikiwa vya kutosha bila kufukua makaburi. Ukiangalia kwa undani madili mengi yamehusisha au yanavibali vya ofisi kuu, mwanasheria mkuu, au baraza la mawaziri. Sasa ngosha kama mkwere amesha sema hatafukua makaburi acha wazee wapunzike wanywe mvinyo wao. Na huko CCM sauti ni ya ngosha tu hivyo sitegemei chochote zaidi ya kile asemacho ngosha.
 
Back
Top Bottom