Corruption SCANDALS at TTCL

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Wakuu nimeipata hii toka reliable source pale TTCL natumai ni wakati muufaka hili shirika nalo limulikwe;
  • During Privatization TTCL had 280billion for the mobile network establishment; but untill today such funds are no where to be traced
  • A number of dubious suppliers from HUAWEI were paid for during SASKTEL management for things that were never supplied
  • CELTEL was formed as a subsidiary of TTCL but how the shareholder changed later and sold to ZAIN then AIRTEL no body knows??
  • SIM2000 was formed as the TTCL assets manager and was responsible for upgrade of the services. A number of properties were sold such as plots, houses, towers etc with money not accounted for
  • ALLAN COMMUNICATION as one of the local service providers getting paid for non-existence services; CFO/CTO are part of the system
  • Theft via payroll was being done between 2006 and 2011; a number of Ex-MP'S are part of the scheme. CITIBANK has not been cooperative with investigaters in the process; and no body from TTCL is pushing for the investigation to complete
  • PRICILLA CHILIPWELI who once acted as CTO is alleged to have been receiving pay cut from Mobile providers and this was confirmed by the banks. This has connection to the subrtage of the Internet and Telephone for the benefit of these providers. Some Engineers are part of the scheme
  • CAG has all these information but no action taken, no report provided
  • Zitto KABWE was handling the evidence but decided to stay away from it after being corrupted

Nawakilisha
 
Njia nyingi zilimshinda fisi: hivi sasa hii serikali yetu itaanza na nani na imalize na nani?.
 
Thanks to jamii forums=== another unfolding story.....talk. Talk, talk....
 
ZITTO umekosa uzalendo kiasi hiki, unaunga mkono Tanzania kuwa shamba la bibi kwa wageni?

Sitaki kuamini..... respond to all these allegations....nchi imekwisha.....
 
It is about time.
Sidhani kama kuna Shirika la Umma lisilonuka uvundo wa corruption.

Ila hiyo ya Zitto, kama imening'inizwa tu. Msije mkawa mnazidi kumpaisha na kuprove kuwa anachafuliwa kisiasa.
 
Hii TTCL toka mwanzo walishaiua kwani mitambo/ minara yote ya barabarani ya mawaqsiliano mfano njia ya kutoka Dsm kwenda mikoa ya Kaskazini kupitia Pwani Tanga, Kilimanjaro na Arusha walishainywa na wafanyakazi wake wote kwa kampuni hilo la Celtel ambalo kiongozi wake ni mtu mkuu sana na wakamuuzia mwarabu mwenzie leo kalichukua Mhindi tutapona kweli hapo, ni nani atakayekohoa.

Kweli TAA NZANIaa TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOOOTEE
 
Corruption is a symptom of selfish behaviour among citizens. It is treated by giving punishment China style to anyone envolved. At a certain point in time this will be instituted here as it is the only treatment known.
hawa watawala wamechagua philosophy ya utawala ambayo ni 'kubaki madarakani' wakati wenzao huko duniani ni kuleta maendeleo.


Lakini kuna kitu kibaya zaidi kinachoonekana sasa ni pale wanapohisi kuna dalili za kuondoka wanajaribu kuharibu kila kitu ili atakayekuja akute 'mafupa' tu.

Wanachosahau ni kuwa Rwanda walijaribu kufanya hivyo na hawakujua kama wangeondolewa madarakani, lakini pamoja na kuacha wameharibu kila kitu 'wajenzi wapya' wanajenga nchi na inasonga mbele.

Cha msingi wafilisini rasilimali zetu bali watuachie uhai na watoto wetu iko siku watashuhudia hukumu za madhambi yao.
 
Tanzania we are no good for nothing check hata Olympic ni blah blah tu
Tanzania imekua nchi ya baa na magenge. Hakuna viwanja vya michezo, sehemu za wazi na mbaya zaidi kunashule zinaanza bila viwanja. Tunakimbia kinyumenyume na JK wetu kwa kutofata Basic Principles kwenye karibu kila kitu. Nasikitika Olympic hakuna mashindano ya kuchoma nyama na kunywa bia. Nawajua "gold medal materials" kwenye fani hizo.
 
sasa zitto anahusikaje hapa, hivi yeye ndio rais, yeye ndio waziri mkuu, yeye ndi mkuu wa usalama wa taifa kila kitu zito jamani, hatumtendei haki mtu huyu.
 
It is about time.
Sidhani kama kuna Shirika la Umma lisilonuka uvundo wa corruption.

Ila hiyo ya Zitto, kama imening'inizwa tu. Msije mkawa mnazidi kumpaisha na kuprove kuwa anachafuliwa kisiasa.

is this company not on its death bed because of lacking enough funds to run successful as a commercial entity?
 
ni kweli kabisa mtoa mada uyasemayo kuna ufisadi wa kupindukia mh zito alifika pale na kujionea mauzauza lakini nashangaa yupo kimyaa nlizani kwene bajeti ya wizara husika angeliongelea ilo lakini kimyaaaa
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom