Copa america: Argentina out

Mkuu, mimi nilitegemea. Walianza kwa kusuasua katika hatua ya makundi, sare 2 na ushindi 1. Tukumbuke maneno ya pele kwamba messi si lolote si chochote. Ana kipaji ila hatakuja kufikia heshima waliyopata akina pele, maradona, maldini na hata wachezaji wa karibuni kama zidane, ronaldo, ronadinho n.k
 
Wanasema Messi is nothing without Xavi and Iniesta, nimeanza kuamini hayo maneno!
 
Mkuu, mimi nilitegemea. Walianza kwa kusuasua katika hatua ya makundi, sare 2 na ushindi 1. Tukumbuke maneno ya pele kwamba messi si lolote si chochote. Ana kipaji ila hatakuja kufikia heshima waliyopata akina pele, maradona, maldini na hata wachezaji wa karibuni kama zidane, ronaldo, ronadinho n.k

Tofautisha kati ya mchezaji bora na timu bora.

Messsi ni mchezaji bora Barce lakini aregtina si timu bora.

Arsenal haina wachezaji bora sana lakini ni timu bora

Chelsea, Real madrid ni timu ni timu zina wachezaji bora lakini si timu bora kama manchester united.
 
Tofautisha kati ya mchezaji bora na timu bora.Messsi ni mchezaji bora Barce lakini aregtina si timu bora.Arsenal haina wachezaji bora sana lakini ni timu bora Chelsea, Real madrid ni timu ni timu zina wachezaji bora lakini si timu bora kama manchester united.
Sijaona la maana uliloandika mkuu. Kama unamaanisha barca ndo bora na si messi, basi tupo pamoja
 
Sijaona la maana uliloandika mkuu. Kama unamaanisha barca ndo bora na si messi, basi tupo pamoja

Kwani barca ni si ni timu na timu ina wachezaji. kinachohitajia ni kuwepo na combination bora ya wachezaji kwenye timu

nachomaanisha unaweza kuwa

  • na first 11 bora kwnye timu moja lakini usiwe na timu bora.
  • Unaweza kuwa na wachezaji watatu au wanne wakali sana kwenye timu na wengine avarage lakini ukawa na timu bora.
Kwa lugha nyingine nayosema Messi ni mchezaji bora lakini argentina na inaweza isiwe timu bora. Timu ni zaidi ya wachezaji . Timu ni kocha Timu ni mbinu na style wanayotumia kucheza kama inaendana na wachezaji. timu ni kuelewana kati ya mchezaji na mchezaji.

Huwezi uwa na gurantee kuwa ukiwa na Messi, Ronaldo kwenye timu moja hata iwe barca basi timu itakuwa nzuri.

Ngoja tuone na brazil leo itakuwaje..

Mpira umebadilika sana siku hizi. hata brazil nao wanacheza technical football sana na sio kama zamani walikuwa wanacheza artistic football
 
Hii inazidi kudhihirisha kwamba Messi hamna kitu pale, huwa anabebwa zaidi na mfumo wa Barcelona hasa Xavi, Iniesta, Biskuti na overlapping za Dani alves. Huu mfumo unamsaidia kufanya trickery zake.
Wachezaji saba wa Barcelona waliweza kusaidia timu ya taifa ya Spain kubeba ndoo South Africa, lakini wachezaji wawili wa Barcelona wameisaidia timu ya Argentina kuvuka hatua ya makundi ya kombe ambalo timu waalikwa (Mexico na CostaRica) zimepeleka U-22, na wenyeji wakafanikiwa kuifunga U-22 ya 53rd team in FIFA rankings
Inabidi Kocha wa Argentina awafundishe wachezaji wake kufanya play acting kama za Barcelona kwani wameshindwa kucheza tiki taka ya Barcelona
MESSI HAS NEVER BEEN GREAT
 
Baada ya Colombia,Argentina Brazil nao wametolewa,nafikiri wachezaji wengi wa South America wanakuwa wamechoka baada ya kucheza ligi za ulaya,Messi amecheza karibia mechi 70 so nafikiri inabidi wapumzike
 
Messi achukue uraia wa Spain acheze na kina Xavi na Iniesta.

Haitakuwa hivyo! Kwani Argentina inacheza attacking football? Kwangu mimi nadhani hapana. Huwezi ukacheza na defencing midfielders 3 halafu ukataka kupata magoli, Argentina imefail hata kabla ya copa america haijaanza sababu ya kutorekebisha makosa ya WC, so warudi kujipanga upya, wakianzia pale walipoishia WC 06 Germany.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom