CONSTITUTIONAL PRIVILEGES OF THE NEC; BILA AIBU WANAPENDA WASOMEKE HIVI; Legal Powers

Mp Kalix2

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
5,940
3,041
Source;NEC Web


1. 1.In discharging its functions in accordance with the provisions of the Constitution, the National Electoral Commission shall not be obliged to comply with orders or directions of any person or any Government department or the views of any political party.


Bila aibu wameweka na huu mzaha.Katika nchi inayoimba kuongozwa kwa sheria, Mahakama ni mahala pamwisho kabisa kwa binadamu kudai haki na usawa na nje ya hapo labda uombe /na umwachie Mwenyezi Mungu.



2. 2.
No Court shall have power to inquire into anything done by the National Electoral Commission in the discharge of its functions in accordance with the provisions of the Constitution.


Nadhani kwa vile tuko kwenye mchakato wa kupata Katiba mpya; basi Bunge letu laweza kutuondolea huu u -mungu mtu ndani ya Tume ya Uchaguzi mapema zaidi ilituweze kuanza kuwaamini kuwa wataweza kupigania na kusimamia maoni yetu huko mbele ya safari.

3. For the better carrying out of its functions, the Electoral Commission is an autonomous department.
 
Back
Top Bottom