Elections 2010 CONFIRMED: Maswa Mashariki na Magharibi: CHADEMA yaua tena

Wagombea wa Ubunge CHADEMA Maswa Mashariki (UDP443, CUF 485, CCM1,7014, CHADEMA 17,075) na Maswa Magaharibi UDP 381, CUF 1845, CCM12,135, CHADEMA 17,459; Shibuda), wameshinda.

Source Channel 10

Very good. Nguvu ya umma ni nguvu ya MUNGU. Hila zote za CCM zimeshidwa
 
Wameshatoa matokeo yao kwani? maana naona kila ambako CCM wamebanwa mbavu hawataki kutoa matokeo duuuh!
 
Ahsante mkuu naona mambo yanaenda kama tunavyotaka, Mwanza Nyamagana tunataka matokeo.
 
Wagombea wa Ubunge CHADEMA Maswa Mashariki (UDP443, CUF 485, CCM1,7014, CHADEMA 17,075) na Maswa Magaharibi UDP 381, CUF 1845, CCM12,135, CHADEMA 17,459; Shibuda), wameshinda.

Source Channel 10

Maswa Magharibi mgombea mshindi wa CHADEMA anaitwa nani?
 
km kweli itakuwa poa sana..........jamani....ila tarime wametuangusha vibaya
Kosa tulilofanya ni kutomchuja yule kilaza ambaye alipoingia ubunge wala hakujua yupo pale kwa ajili gani.
Ila msihofu tutatumia akili ya ziada kulirejesha jimbo
 
Yule bondia wa Maswa, aliyepigana huku mikono yake ikiwa imefungwa kamba nyuma ya mgongo wake, na marefa wakiwa NEC (shingo) na ROPE (kamba) amepata ushindi kwa njia ya KO.
Wakati mwingine haki ina nguvu ya kutajitambulisha dhidi ya dhuluma. Refa wa pili aliyekuwa hasim wake mkubwa Elder Many Ropes akisaidiwa na Rice One wameshindwa kabisa kila mbinu walizotumia. Mbinu zilizotumika ni pamoja na ile ya kumwaga damu ya dereva wa gari na nyingine ni ile ya kumbambikizia mashtaka yasiyomhusu na kumweka ndani kwa siku kadhaa. Hongera kwako mpiganaji Mh Shibuda.
Chama
Kura
Asilimia
Jina
Jimbo
CHADEMA
17075
50.1%

East Maswa
CCM
17014
49.9%

CCM
12135
41.0%


CHADEMA
17456
59.0%
Shiboda
West Maswa
 
Back
Top Bottom