pawaaa!pipoooz
Source: Dorice Meghji
TBC1 Reporter
Tundu Lissu kapata kura 13,787 na Mgombea wa CCM -12,161
These are the bestiest results for me kwa ambao hawamjui huyu Jamaa wataiona shughuli yake Dodoma.
Mageuzi hayaji kwa mara moja, Nyerere alihangaika sana hadi nchi iliposhusha bendera ya mkoloni. Na hivi ndivyo ilivyo kwenye ukombozi huu wa pili (Ukombozi 2.0). Tusife moyo, matunda tutayala na tuko tayari kwa sacrifice zozote as long as hatumwagi damu.
Amandla.
Halafu watun wanaibuka na kusema CHADEMA niu chama cha ukanda na ukabila!
Naskia kichwa cha Lisu ni sawa na vichwa 50 vya ccm!!
Hizo ndo quality tunazozitaka bungeni na sio Quantity za magabachori kama Rostam Azizi, dewiji na wasinziaji wengine bungeni
Nasikia ni mara ya kwanza jimbo la Singida kwenda upinzani
Kweli none of the stone will be left unturned