Confirmed: EX bf/gf, mwizi wa mke/mme, mchumba/mpenzi wako ni rafiki yake wa facebook

Usije kukuta wewe ndio umeishia madrassa au chekechea! Dr.Mo
...mkuu simplicity usibishane sana na watu kama hao...maana kuna watu wanadhani ukisoma sana basi na mapenzi unayajua au hayawezi kukubabaisha kam umesoma....sio kweli kabisa.....na tena ukileta usomi kwenye mapenzi inaweza kukucost mbaya...mimi nimeona mabo ya facebook na mitandao ya jamii we acha tu
 
Elimu ndogo kama wewe ndio utaweza mshika mtu jina fake picha fake
..haya bana wew mwenye elimu kubwa unajua.....mapenzi na elimu wapi na wapi....wewe kwa akili yako ndogo unaona kama umesoma na mapenzi utakua unayajua zaidi....acha utoto
 
Well noted mkuu simplicity. Big up, if the truth z told the youth can grow, read more learn more change the globe
 
Back
Top Bottom