Confirmed: EX bf/gf, mwizi wa mke/mme, mchumba/mpenzi wako ni rafiki yake wa facebook

Simplicity mdogo wangu sina shida na threads zako kwa kweli. Ila sasa lazima uwe unazingatia mifano unayoitoa na watu unaowatolea mfano. Nafahamu fika kuwa ni mifano tu na hukuwa na wazo lingine.

Nilikuambia wiki iliyopita kuwa hapa ndani nina mchumba mwallu na mwakani tutafunga ndoa. Kwa sababu hii naomba unisaidie kutoniweka kwenye baadhi ya mifano.

Kama unaona ni thread tu nzuri na ungependa kaka yako nipite niisome, basi ni-mention tu hapo chini hakutakuwa na shida.

Wasalaam, Mentor.

Afadhali Uoe..na ukioa tu na mie naolewa...............
 
ukweli upo wazi kwa unaloliwasilisha hapa, matumizi ya fb kwa jamii yetu ni kama moja ya vitendea kazi vya kurahisisha na kufanikisha zinaa.

This is very true. Halafu sio wanawake tu, maana wanaume ndo wanaanza kutongoza, usiombe kuona hizo sex-chat messages, zinaweza kuvunja uchumba na ndoa.
 
Kuna comment ya Ennie, hatari nimeipitia mbali!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom