emmanuel mhecha
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 933
- 542
Wandugu huyu bwana Dr Shika ameitikisa Tanzania,na mpaka sasa wengi hawajapata wanachotaka kujua kwa Dr nikiwemo Mimi, nikifuatilia interview zote kuna Giza bado juu ya maisha yake Kule Russia,
Maoni yangu je hatuwezi kuweka press conference ukumbi wowote na huyu Dr ili hizi comments zote zjibiwe na yeye,
Na ndipo tupate hitimisho na kumchangia Pesa kwani kwa hatua aliyopitia anastahili kusaidiwa sana.