Comrade Julius Mtatiro

Sasa hivi CUF imefunga ndoa na Chadema.. Kule
Sasa mtatiro angehama 2011.. Kwa ushauri huu na wakati sasa wamefunga ndoa.. Angekua anahangaika bure
amepewa taraka
 
director1, usitake kumdanganya mwenzio aachie ulaji hapo CUF!, mwenzako hapo ni naibu katibu mkuu ambayo ni very senior position. Juzi wakati wa uchaguzi mdogo wa Igunga, Mtatiro aliidhinisha malipo ya milioni 50 kulipia ile helcopter bila kushauriana na yoyote hapo CUF, hii ikiwa ni ushahidi kuwa pia anayo purchasing power kubwa, unataka aende chadema akafe njaa?!.

Kwa Tanzania tuna wanasiasa wa aina mbili, aina ya kwanza ni wanasiasa ambao siasa kwao ndio professional na ajira zao za kudumu kuendeshea maisha yao. Hawa wanaingia siasa ili waweze kuishi ndio maana Lipumba ndiye mgombea wa kudumu wa urais wa muungano kwa tiketi ya CUF.Wengi wa wanasiasa walioko CCM na CUF ndio wa kundi la kwanza. Kundi la pili la wanasiasa wa bongo, ni wale wanaoingia siasa kwa kutaka kuwatumikia wananchi, hawa wanauchungu na umasikini wa Tanzania hivyo wanaingia siasa ili kuleta mabadiliko, wengi wa walioko Chadema ndio kundi hili la pili.

CUF ni chama cha siasa cha wachumia tumbo, kinagombea uongozi ili kupata ulaji, baada ya kufunga ndoa na CCM, wanagawana ulaji, hapo sasa hakuna kingine wanachotaka ni kugawana tuu keki ya taifa na kula kwa ulaini, hivyo Mtatiro hapo alipo ni pazuri sana kwa ulaji, msimdanganye ahame aachane na ulaji aje Chadema kwenye struggle ambapo kwa sasa anakula kwa kuypewa, akienda Chadema, itambidi ale kwa jasho lake!.

Mtatiro usidanganyike, jitulize tuu hapo hapo ulipo, endelea kujilia kwa ulaini, 2015 kombea tena ubungo uendelee kusindikiza huku ukijilia kwa ulani. Kama unaweza kujipatia ulaji kwa ulaini na mteremko kama huo ulionao hapo CUF, kwanini ukapande milima na mabonde kama Chadema?.
Tena kutokana na jina la Julius, wewe ni mtaji muhimu sana CUF, naomba usifikirie kabisa kuhama, chama kitakufanya mgombea wa kudumu wa jimbo la Ubungo kama alivyo Prof. Lipumba ni mgombea wa kudumu wa urais wa muungano.
Leo chadema mmefunga ndoa na cuf, mnajiita ukawa!
 
Kwako mkuu
tumesikia na kuelewa utendaji wako wa kazi
mimi binafsi ni mwanaharakati ninaye takia mema nchi yangu,mkuu umekuwa ukifanya kazi hapo Cuf kwa muda mrefu sasa,je swali langu,,hapo Cuf una future?je Cuf inakuachia uwanja wa kucheza ili uweze kufanikisha malengo yako kisiasa?je Cuf yenyewe ina future?
mkuu napenda kukupa taarifa kuhusu upinzani wa wakati tulio nao,
kazi ya upinzani tulio nao ni moja tu! kuiondoa ccm madarakani,,hakuna kazi nyingine,
ccm imetawala miaka mingi na imetusumbua sana sisi watanzania,kazi yenu ni kuitoa ccm na yeyote atawale ili mradi ccm ifutwe kabisa,
mkuu kama hiyo ndio kazi ya upinzani nakushauri uondoke Cuf mara moja kwa kuwa walishafunga ndoa na ccm
hakuna mabadiliko yatakayotokea nchi hii kama ccm inahusika,ondoka Cuf hamia chadema pambana na wenzio ili watanzania waweze kuwaweka kwenye vitabu vya historia
Sasa hivi kuna ndoa kati ya CUF,CHADEMA,NCCR-Mageuzi,NLD na Timu-Lowassa (huyu ni CCM damu)....hata chadema wanashirikiana na wanaccm kufikia malengo yao..upooo?
 
Mkuu Julius Mtatiro, kwanza hongera kwa kuja humu Crystal clear. Pili asante sana kwa majibu yako ambayo yanazidi kuthibitisha wewe sio tuu ni kichwa, bali pia ni jembe kweli la kuchapa kazi kwenye medani za siasa.

Enzi zile mimi nikiwa mwanahabari, baada ya Mrema kuhama CCM, nilimuuliza maswali kama haya naye alitoa majibu mazuri kama yako kuhusiana na hoja za kuhama chama. Kilichofuatia sote tunakijua.
Nakuaminia wewe ni wewe hivyo post zako nazichukulia kama msahafu wa msimamo wako kisiasa na nitazitumia kama rejea from time to time kukuthibitishia CUF is a wrong party for you huku bara.

Umethibitisha SUK inafanya vyema Zanzibar kwa kupandisha bei ya zao la Karafuu toka 5,000 kwa kilo mpaka 15,000, this is fine, kitu ambacho hukusema ni kuwa wana CUF wote walioingia SUK, wamekula kiapo cha kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM!.

Nafasi ya Maalim Seif kama Makamo wa kwanza wa rais ni purely ceremonial with no executive powers na mwenye mamlaka ni makamo wa pili!.

Pamoja na yote uliyosema na kwa uwazi uliopitiliza hata mipaka, fact zinabaki kuwe wewe Julius Mtatiro ni mpiganaji wa kweli uliokuweko kwenye waste party, the sooner you realize, the better!. Other wise time will tell.

I wish you all the best hapo ulipo.

Paskali (wa jf).
Tetesi za kuhamia Chadema zimeanza. Hili ni bandiko la 2011.

Pascal
 
director1, usitake kumdanganya mwenzio aachie ulaji hapo CUF!, mwenzako hapo ni naibu katibu mkuu ambayo ni very senior position. Juzi wakati wa uchaguzi mdogo wa Igunga, Mtatiro aliidhinisha malipo ya milioni 50 kulipia ile helcopter bila kushauriana na yoyote hapo CUF, hii ikiwa ni ushahidi kuwa pia anayo purchasing power kubwa, unataka aende chadema akafe njaa?!.

Kwa Tanzania tuna wanasiasa wa aina mbili, aina ya kwanza ni wanasiasa ambao siasa kwao ndio professional na ajira zao za kudumu kuendeshea maisha yao. Hawa wanaingia siasa ili waweze kuishi ndio maana Lipumba ndiye mgombea wa kudumu wa urais wa muungano kwa tiketi ya CUF.Wengi wa wanasiasa walioko CCM na CUF ndio wa kundi la kwanza. Kundi la pili la wanasiasa wa bongo, ni wale wanaoingia siasa kwa kutaka kuwatumikia wananchi, hawa wanauchungu na umasikini wa Tanzania hivyo wanaingia siasa ili kuleta mabadiliko, wengi wa walioko Chadema ndio kundi hili la pili.

CUF ni chama cha siasa cha wachumia tumbo, kinagombea uongozi ili kupata ulaji, baada ya kufunga ndoa na CCM, wanagawana ulaji, hapo sasa hakuna kingine wanachotaka ni kugawana tuu keki ya taifa na kula kwa ulaini, hivyo Mtatiro hapo alipo ni pazuri sana kwa ulaji, msimdanganye ahame aachane na ulaji aje Chadema kwenye struggle ambapo kwa sasa anakula kwa kuypewa, akienda Chadema, itambidi ale kwa jasho lake!.

Mtatiro usidanganyike, jitulize tuu hapo hapo ulipo, endelea kujilia kwa ulaini, 2015 kombea tena ubungo uendelee kusindikiza huku ukijilia kwa ulani. Kama unaweza kujipatia ulaji kwa ulaini na mteremko kama huo ulionao hapo CUF, kwanini ukapande milima na mabonde kama Chadema?.
Tena kutokana na jina la Julius, wewe ni mtaji muhimu sana CUF, naomba usifikirie kabisa kuhama, chama kitakufanya mgombea wa kudumu wa jimbo la Ubungo kama alivyo Prof. Lipumba ni mgombea wa kudumu wa urais wa muungano.
Rejea
 
Waberoya, kama ulinisoma posti yangu No. humu nimempa ushauri wangu.

Naamini wote tumeyasoma majibu ya Mtatiro mwenyewe kuwa ameingia kwenye siasa kwa malengo, na kabla ya kujiunga hapo alipo, amefanya upembuzi yakinifu kuwa hapo ndipo na malengo yake yatatimia.

Nadhani pia umeniona nikimuwish all the best hapo alipo, aende chama gani tena wakati hapo kafika?.

Kwa vile time ndio the best judge, lets wait for the time to tell ili tuone what will become of him.

Paskali.
Rejea.
P.
 
Waberoya, nimeipenda sana "the independence" on you na sense yako ya nationalism kuwa Tanzania ni yetu sote no matter tuko vyama tofauti.
Nadhani ulisoma Eng. unaweza kuwa ni moto wa aina yake kwenye field yako, ila ninavyokusoma humu, ulipaswa upige LL.B na ungekuwa ni balaa zaidi!.

Naamini Mtatiro kajieleza vizuri na watetezi wake mnaomsuport amewasoma, na naamini japo sio lazima atufuate, ila sauti zetu kuwa he is in a wrong side of the right road amezisikia, anachofanya sasa, ni either a proof us wrong kwa sisi kudhani kuwa yuko kwenye wrong side, atakapofikia destination ya safari yake salama, ama kwa vile Mtatiro ni mpambanaji wa kweli, anaweza pia kuprove kuwa hata ukipitia wrong side of the road unaweza kufika destination yako sawasawa na wale ombao wako kwenye the right track, tumpe nafasi na time will tell.

Asante mwanzisha uzi, asante wachangiaji makini, asante zaidi kwa Mtatiro, japo nami nilikuwa UDSM, time za kina Zitto, na kina Mtatiro, wengine wetu tulikuwa too busy na mambo yetu, siasa za chuo zikatupita kando, lakini kupitia uzi huu, ndio tumemfahamu Mtatiro better na kweli ni jembe haswa!. Sasa hivi ni msimu wa kutayarisha mashamba, tusubiri mavuno baada ya 2015 ndipo tuje tena tutoe sifa za majembe ya kweli kwa kipimo cha mavuno, bila kutoa visingizio vya matatizo ya hali ya hewa.

All the best.

Pasco.
Rejea
P.
 
EXECUTIVE,
Kwa vile siasa ni malengo, kwa vile CUF nguvu yake kubwa ni Zanzibar na Pemba, na hali ya kusiasa katika visiwa hivyo ilikuwa mbaya sio tuu ilitishia amani, bali imeshaletwa umagwaji damu na mpaka kutoa wakimbizi. Kwa CUF kukubali SUK ni good compromise kwa ustawi wa Zanzibar, hivyo kwa CUF Zanzibar haya ni mafanikio kuondoa siasa za uhasama na umwagaji damu, japo at the cost of kupigiwa vigora na kutekeleza sera za CCM.

Kwa vile Zanzibar, asilimia 98% ya Wazanzibari ni Waislamu, chama chochote cha siasa ili kupata ustawi Zanzibar, lazima kiwakumbatie hao 98%. Sasa kwa sababu CUF bara inakabiliwa na jinamizi la udini, CUF lazima ipate prone ya kuicheza mbele kenye gama yake ya chess, ili kuliondoa jinamizi hilo, ndivyo walivyomtumia Rwakatare, na sasa ndivyo watakavyomtumia Mtatiro bila yeye kujijua, watampa kila anachokitaka, kila cheo na vilemba vya ukoka, lakini wakati utakapofika, ndipo atakapoijua what CUF really is and what does it stand for!. Only time will tell!.

Paskali
Rejea.
P
 
Jambo la msingi ni kuwatoa nterahamwe alaf mengine yatafuata cha kwanza ni kushinda vita
 
director1, usitake kumdanganya mwenzio aachie ulaji hapo CUF!, mwenzako hapo ni naibu katibu mkuu ambayo ni very senior position. Juzi wakati wa uchaguzi mdogo wa Igunga, Mtatiro aliidhinisha malipo ya milioni 50 kulipia ile helcopter bila kushauriana na yoyote hapo CUF, hii ikiwa ni ushahidi kuwa pia anayo purchasing power kubwa, unataka aende chadema akafe njaa?!.

Kwa Tanzania tuna wanasiasa wa aina mbili, aina ya kwanza ni wanasiasa ambao siasa kwao ndio professional na ajira zao za kudumu kuendeshea maisha yao. Hawa wanaingia siasa ili waweze kuishi ndio maana Lipumba ndiye mgombea wa kudumu wa urais wa muungano kwa tiketi ya CUF.Wengi wa wanasiasa walioko CCM na CUF ndio wa kundi la kwanza. Kundi la pili la wanasiasa wa bongo, ni wale wanaoingia siasa kwa kutaka kuwatumikia wananchi, hawa wanauchungu na umasikini wa Tanzania hivyo wanaingia siasa ili kuleta mabadiliko, wengi wa walioko Chadema ndio kundi hili la pili.

CUF ni chama cha siasa cha wachumia tumbo, kinagombea uongozi ili kupata ulaji, baada ya kufunga ndoa na CCM, wanagawana ulaji, hapo sasa hakuna kingine wanachotaka ni kugawana tuu keki ya taifa na kula kwa ulaini, hivyo Mtatiro hapo alipo ni pazuri sana kwa ulaji, msimdanganye ahame aachane na ulaji aje Chadema kwenye struggle ambapo kwa sasa anakula kwa kuypewa, akienda Chadema, itambidi ale kwa jasho lake!.

Mtatiro usidanganyike, jitulize tuu hapo hapo ulipo, endelea kujilia kwa ulaini, 2015 kombea tena ubungo uendelee kusindikiza huku ukijilia kwa ulani. Kama unaweza kujipatia ulaji kwa ulaini na mteremko kama huo ulionao hapo CUF, kwanini ukapande milima na mabonde kama Chadema?.
Tena kutokana na jina la Julius, wewe ni mtaji muhimu sana CUF, naomba usifikirie kabisa kuhama, chama kitakufanya mgombea wa kudumu wa jimbo la Ubungo kama alivyo Prof. Lipumba ni mgombea wa kudumu wa urais wa muungano.
Hakuna chama cha siasa wala mwanasiasa anaefanya siasa kwasababu ana uchungu na Watanzania au Tanzania. Wote wapo kwa maslahi binafsi. Tusidanganyane.
 
Umesema ukweli mtupu,Sasa hivi kuna ndoa kati ya CUF,CHADEMA,NCCR-Mageuzi,NLD na Timu-Lowassa (huyu ni CCM damu)....hata chadema wanashirikiana na wanaccm kufikia malengo yao..upooo?
 
Baada ya kusoma post zote nimeamini kitu kimoja WANANDOA WOTE WANATETEANA SANA NA HAKIKA NDOA INOGILE.
Sasa hivi kuna ndoa kati ya CUF,CHADEMA,NCCR-Mageuzi,NLD na Timu-Lowassa (huyu ni CCM damu)....hata chadema wanashirikiana na wanaccm kufikia malengo yao..upooo?
 
Director na wadau wote, tangu jana nahudhuria vikao muhimu vya kitaifa, na hadi hivi sasa niko katika kikao cha KAMATI YA UTENDAJI. Kwenye saa 6 hivi tutamaliza session ya leo. Nitarudi na majibu ya maswali yako na wadau wengine.

Nitajibu hoja za msingi tu na kutimiza wajibu wangu!

Mtatiro - 30.10.2011
mbona siku hizi umekuwa bubu? Sasa hivi kuna ndoa kati ya CUF,CHADEMA,NCCR-Mageuzi,NLD na Timu-Lowassa (huyu ni CCM damu)....hata chadema wanashirikiana na wanaccm kufikia malengo yao..upooo?
 
Nikija kwenye Chadema, hivi kuna mwanasiasa anayejiunga Chadema ili kupata ulaji?. Chadema kitakapo pata fursa ya kushika dola (nothing is impossible under the sun), ndipo wanachama wachumia tumbo watakapo kivamia, na wale CCM opportunities ewakishajua there are opportunities no more nao watakihama.
Mkuu chadema ilipopata nguvu tumewaona opportunists wakijiunga nayo wakiongozwa na Lowassa, siku hizi ruzuku ni nene.
 
Back
Top Bottom