The_Emperor
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 871
- 125
Wadau,ninaomba kupata ufafanuzi kuhusu soko la ajira kati ya fields hizo mbili za engineering.Ipi ni marketable kwa sasa?
Hamna kitu kama Computer Engineering. Labda tu kama na wewe unataka kuwa Mhandisi wa KATA.
Utauziwa paka kwenye gunia kijana.

kwan uandisi ni telecom na comp
may be u should opt for something alse
soko lsha converge bwana mkubwa
check vitu kama textile engineering na vingine
Mdau,mhandisi wa kata ndo yukoje?
Hamna kitu kama Computer Engineering. Labda tu kama na wewe unataka kuwa Mhandisi wa KATA.
Utauziwa paka kwenye gunia kijana.
Ndugu nieleweshe,sijakupata vizuri.
Wadau,ninaomba kupata ufafanuzi kuhusu soko la ajira kati ya fields hizo mbili za engineering.Ipi ni marketable kwa sasa?
dogo fanya mpango uende udsm ukaulize kuhusu hizo field mbili achana na story za vijiweni, kama unataka kutoka ki-life wewe piga Textile engineering, actuarial science au computer science hizo ni udsm. Kama unataka ardhi,mzumbe na sua sema upewe ushauri. Telecom kwa sasa labda usome uwe tutorial asistant lakini ajira zake sio nzuri kwa sasa tofauti na enzi zile maana wengi wanamaliza wanakuwa wajasiriamali mpaka watoke nyundo kibao huku wenzao waliopiga course za 3 yrs wana-drive magari tu mjini na ajira motomoto
kuhusu computer eng haina tofauti na computer science ila wanafunzi wa bongo wanapenda ku-complicate maisha ila wakifika mwaka wa tatu wanajuta duh ningejua ningechukua computer science (cos). Halafu we bado dogo ujui vitu so unapopewa ushauri usiwe na ghadhabu just read and interprete the advices very careful cuz it all about your career and your life as well.
Hamna kitu kama Computer Engineering. Labda tu kama na wewe unataka kuwa Mhandisi wa KATA.
Utauziwa paka kwenye gunia kijana.
Soma Civil Engineering.