COMPREHENSiVE INSURANCE

GAMBLER

JF-Expert Member
Nov 22, 2009
303
11
Wadau mimi sijawahi kukata comprehensive insurance, mara zote huwa nakata third part,
Nimesikia kuwa ukikata comprehensive, hata kama umegonga, gari imeibiwa, moto ukitokea, unalipwa na hakuna mizengwe. Naomba kujuwa kama kuna ukweli juu ya hili kabla sijaingia gharama ya kukata, na pia ningependa kujua kampuni gani ya bima ndio nzuri kwa hapa Bongo
 
nenda Phoenix, mimi nilipata ajali na walinilipa tena ndani ya wiki moja
 
Wadau mimi sijawahi kukata comprehensive insurance, mara zote huwa nakata third part,
Nimesikia kuwa ukikata comprehensive, hata kama umegonga, gari imeibiwa, moto ukitokea, unalipwa na hakuna mizengwe. Naomba kujuwa kama kuna ukweli juu ya hili kabla sijaingia gharama ya kukata, na pia ningependa kujua kampuni gani ya bima ndio nzuri kwa hapa Bongo

Kwa uelewa wangu kampuni zote zinazofanya biashara hii ya kukata bima huwa lazima imesajiriwana NIC na hivyo lazima wafuate sheria za bima and as per NIC this type of cover protect your vehicle against all accident that can occur while you are driving, lakini piagarikuibiwa. Si kwa gari kuungua ikiwa umepaki let say home na moto kutkea kusikojulikana na kuunguza gari. lakini kama unaendesha na gari kuwaka moto hiyo ni ajali na uchunguzi ukifanywa report ita-recommend ulipwe. for more info you can visit http://www.nictanzania.com/motor.htm
Nafikiri itakusaidia kupata mwanga kidogo wa hilo suala lako.
 
Mdau nikweli comprehensive ina mazuri yake ingawa pesa yake nayo ni kubwa kidogo. Kama Hope2 alivyosema mie nina bima toka Phoenix kuna wakati mojawapo ya gari yangu ilipata ajali na haikuchukua muda kupata malipo, hivyo nakushauri nenda Phoenix.
 
Back
Top Bottom