Compare between Dar Lux na ndege za panga boi

Hajakosea alivyosema anaomba mungu azime mitandao ya kijamii yote kwa usiku mmoja;
hata mimi ningesema hivyo hivyo.
 
Hao wanao kejeli ndege zetu hata kupanda helcopter hawajawahi!!!! Kazi unafiki wa bule. Kafieni mbele na chuki na uchochezi wenu.
 
Aliye roga vichwa vya watz alishafariki.
Kwa fikra na chuki hii nadiriki kusema ili kuiongoza tz usiwasikilize unaoongoza wanasema nini, wewe fanya tu ipo siku watakushukuru kama ambavyo eti sasa wanamuona jk mzuri wakati walimpona kwa miaka yote 10.
Nahisi jirani zetu wanatushangaa kwa kitojipenda.
JK mzuri??!
 
Hapa sitii neno, nahisi kama kuna mtego kuna panya wataingia tu mtego huu,
 
Wapambanaji wenzangu naona tumeshindwa kabisa ktk ishu ya ajira na sasa tumehamishia nguvu zote kwenye mara mapangaboi mara mabombadia mara mandege!!!jamani turudi na huku kwetu jamaaaa
 
Back
Top Bottom