Compare between Dar Lux na ndege za panga boi

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,652
Naombeni msaada wenu wanajamvi! Kwa mwonekano wa ndani, kati ya Bus za Dar Lux na Hizi ndege za hapa kazi Tu hivi hipi ni more luxurious.
Swala la speed tuweke pembeni. Naomba tucompare mwonekano wa ndani tu.
1475188260928.png
1475188274785.jpg

Msininukuu vibaya. Nimefanya kuicompare na basi maana nimekosa hata ndege ya kuicompare nayo. Ndege za wenzetu ni level nyingine. Yani nimeshindwa kuicompare hata na ile Air Tz au Fastjet.

Unaruhusiwa kuleta yakwako ili Tufanye comparison pia.
 
Naombeni msaada wenu wanajamvi! Kwa mwonekano wa ndani, kati ya Bus za Dar Lux na Hizi ndege za hapa kazi Tu hivi hipi ni more luxurious.
Swala la speed tuweke pembeni. Naomba tucompare mwonekano wa ndani tu.
Ndege za mapangaboi zimeletwa ili kuwahudumia wananchi wanyonge na masikini wa kitaa, wacheni ziwahudumie walalahoi na wadanganyika.
Kuna mpango na mchakato kwa kila mkoa kupatiwa ndege 2 za mapangaboi. Siri-kali hii ina fedha za kutosha, kaeni mkao wa kutumbuliwa tu. Hapana kazi tu.
 
Back
Top Bottom