Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,476
- 39,995
Kina vutia sana,nina kisubiri.
Atangaye na jua hujuwa.Una ki-judge kwa cover? Au yaliyomo?
Thank you, tupo tayari kupokea riwaya yako. Tunaomba tupatie ile summary uliyoiandika nyuma ya kitabu ili tupate insight ya riwaya yako.
Well done Mzee Mwanakijiji!
Well, going into production... mambo yakikaa vizuri in a month or so kitakuwa mitaani...
View attachment 51793
Nina uhakika kuwa cover itakuwa na mabadiliko kidogo tu...