Mnyamahodzo
JF-Expert Member
- May 23, 2008
- 1,932
- 985
Naomba kujulishwa hapa tanzania ni wapi naweza pata majarida ya katuni za tin Tin na kale ka-mbwa kake (kenye akili haina mfano).
Nalijaribu wakati fulani kutafuta kwenye maduka ya vitabu na wauza vitabu wa mitaa ya mjini, kwa Dar, niliiishia kuugulia maumivu ya miguu tu.
Yananikumbusha mbali....!
Nalijaribu wakati fulani kutafuta kwenye maduka ya vitabu na wauza vitabu wa mitaa ya mjini, kwa Dar, niliiishia kuugulia maumivu ya miguu tu.
Yananikumbusha mbali....!