Collabo la ukweli

12729253_1160480847297629_6174031122448261308_n.jpg
Uwiii iwiee
 
Naomba maana halisi ya UTAMADUNI, kwani Ni nini? Mimi kabila ninalo.
Nenda kasome kamusi ya kiswahili, utapata maana ya utamaduni. Lakini kwa kifupi ni jumla ya mfumo wa maisha kwa kundi la watu fulani ktk eneo fulani. Inahusisha lugha, chakula, mila, mahusiano nk.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom