Coldplay Fan(s)?

My place & Lost ar my favourites songs from Cold play,chris martin is the best writer n singer ever
 
La vida&Paradise hawa nawapenda instruments zao pia muziki wao ni mzito ukisikiliza kwenye mashine ya nguvu utapenda,lakini zaidi mi ni mnazi wa Iron Maiden,always show zao za nguvu sana na wale Nge wa ujerumani.Muziki wa rock ndio muziki bana,vyombo,live hakuna mambo ya kuchezesha CD na kuigiza kama ze comedy
 
Clocks,viva la vida,the scientist na Every Teardrop Is a Waterfal. Nawakubali sana hawa jamaa hawabahatishi
 
Viva la vida, violet hills, life in technicolor, the escapist, clocks, major minus, etc. Jamaa hawakosei

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ink, ghost stories, death will never conquer, true love....daah karibia zote tu.
Gravity, etc
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom