COCA COLA/PEPSI basi tena kumbe ina matumizi mengine!

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,316
13,282
juzi nilikuwa nakwenda morogoro,nimepanda basi la ABOOD,tumefika maeneo ya ruvu darajani,tairi moja la nyuma likapata pancha,tukatelemka ili wabadilishe tairi,wakaanza kazi ya kufungua tairi hilo,kaka nut zikawa ngumu sana kufunguka,huwa wanatumia bomba fulani[mtalimbo] wanaingiza spana kisha wanabembea,zile nut zilikuwa zimekazwa ile mbaya!hadi mabaunsa 3 wananing'inia hazifunguki jasho limewatoka.MUNGU sio mzee mkumba kama asemavyo Mbwiga,likatokea lori kubwa la mafuta likasimama,kwa mbele,akaja tingo akawaambia nenda ukanunue soda aina ya coca cola /Pepsi ulete hapa,kweli tingo wa bac akafanya hivyo,jamaa akaifungua ile soda aina ya coca cola na kuzimwagia zile nuts zote,kisha akawambia haya fungueni Ebwana zimekuwa laini kama unanawa vile!watu wote tuliona kama maajabu!!!!!!!Sasa kwa wataalam wa chemistry hii inakuwaje?au ndio maana wa2 wenye ulcers wanakatazwa kunya soda aina hizi??MIMI COCA/PEPSI BASI TENA KAMA KUTU INA LAINIKA VILE SEMBUSE TUMBO!!!!:yield:
 
Muongo
 
pia kama gari lako limejaza carbon kwenye terminals za betri, unaweza kuondoa vizuri wka kutumia cocacola

kama sink lako la chooni au vyombo likeweka weusi, mwagia cocacola, leave it for few minutes na sugua kwa sabuni.....kitu kinakuwa kama kipya!

kumbuka tumboni au mwilini siyo sawa na hivyo vyuma au nuts
 
Kwa kuongezea tu, kama mama watoto ameishiwa na sabuni ya kusafisha choo basi tumia coca cola au pepsi. Inasafisha vizuri kabisa hasa diet coke!
 
Hii ndio pointi ya msingi. Unadhani ingekuwa na madhara ya kufa mtu WHO na TBS wangewapa Coca ama Pepsi certificate ya usalama kwa matumizi ya binadamu? Think twice.

TBS hii ya bongo? Mbona ni wasanii hao. Siwaamini hata chembe. Mungu pekee ndiye mlinzi wetu.
 
pia kama gari lako limejaza carbon kwenye terminals za betri, unaweza kuondoa vizuri wka kutumia cocacola

kama sink lako la chooni au vyombo likeweka weusi, mwagia cocacola, leave it for few minutes na sugua kwa sabuni.....kitu kinakuwa kama kipya!

kumbuka tumboni au mwilini siyo sawa na hivyo vyuma au nuts

Hii ni kweli kabisa na kuna mama mmoja niliwahi kumsadiai ku jump-start gari yake ila ilinibidi nimwagie coca-cola kwenye hizo terminals za betri na hatimaye gari iliwaka.
 
Kwa kuongezea tu, kama mama watoto ameishiwa na sabuni ya kusafisha choo basi tumia coca cola au pepsi. Inasafisha vizuri kabisa hasa diet coke!

Safi sana kwa hiyo Coka ni bora katika kusafisha mwili kuliko zile detox za Askofu Gamanywa
 
Cocacola zina madhara makubwa sana ila WHO au sijui nani, hawawezi kuwazuia hawa jamaa kwa sababu utaanzisha vita na USA. Ni kampuni moja tajiri vibaya sana na kuanza nao vita, utaisha wewe.

Cocacola inatumika hata kusafisha tumbo kwa watoto kama wana madhara fulani hivi.

Ila ukweli ni kuwa hata MAJI, yanauwa. Moto unauwa. Magari, ndege, train zinauwa.

Ukila sana chakula ambacho kimezalishwa bila chemical zozote, pia waweza kufa.

CONCLUSION: Too much of anything is harmful. Kunywa COLA ila kumbuka ni COLA.
 
[h=2]Effect of Coca Cola on your body[/h] In The First 10 minutes: 10 teaspoons of sugar hit your system. (100% of your recommended daily intake.) You don't immediately vomit from the overwhelming sweetness because phosphoric acid cuts the flavor allowing you to keep it down.
20 minutes: First effect of coca cola on your body. Your blood sugar spikes, causing an insulin burst. Your liver responds to this by turning any sugar it can get its hands on into fat. (Theres plenty of that at this particular moment)

40 minutes: Caffeine absorption is complete. Your pupils dialate, your blood pressure rises, as a response your livers dumps more sugar into your bloodstream. The adenosine receptors in your brain are now blocked preventing drowsiness.
Your body ups your dopamine production stimulating the pleasure centers of your brain. This effect of coca cola is physically the same way heroin works, by the way.

The phosphoric acid binds calcium, magnesium and zinc in your lower intestine, providing a further boost in metabolism. This is compounded by high doses of sugar and artificial sweeteners also increasing the urinary excretion of calcium.
The effect of coca cola caffeine diuretic properties come into play. (It makes you have to pee.) It is now assured that you'll evacuate the bonded calcium, magnesium and zinc that was headed to your bones as well as sodium, electrolyte and water.
>60 minutes: As the rave inside of you dies down you'll start to have a sugar crash. You may become irritable and/or sluggish. You've also now, literally, pissed away all the water that was in the Coke. But not before infusing it with valuable nutrients your body could have used for things like even having the ability to hydrate your system or build strong bones and teeth.
[h=2]The effect of Coca Cola After the rush[/h] This will all be followed by a caffeine crash in the next few hours. (As little as two if you're a smoker.) But, hey, have another Coke, it'll make you feel better.
Yuck, this is not a nice message on what happens to your body as the can of coke goes through it but it is interesting. Now that we know the effect of coca cola maybe we should see the effect of chocolate next.
 
Back
Top Bottom