COCA COLA/PEPSI basi tena kumbe ina matumizi mengine!

Vile vile hata Maji ya kunywa i.e.ruwenzor,uhai,chapa simba,double panch e.t.c msinywe un necessarily.Mtazaa albino na kuota vipara
 
Duh, nilipokua chuo nilipenda sana kumix coca au pepsi na valuer especially kipindi kile hali ya hewa kunako waleti na akaunti inapokua tete.
 
pia kama gari lako limejaza carbon kwenye terminals za betri, unaweza kuondoa vizuri wka kutumia cocacola

kama sink lako la chooni au vyombo likeweka weusi, mwagia cocacola, leave it for few minutes na sugua kwa sabuni.....kitu kinakuwa kama kipya!

kumbuka tumboni au mwilini siyo sawa na hivyo vyuma au nuts

pia nasikia hata katika kusafishia matairi, pepsi au coca huwa zinasafisha na kuyafanya matairi kuwa meusi kama ndo yametoka kiwandani vile...Waosha magari wa vijiwen wanaijua hii.
 
nyie vipi au hamjaenda shule nini..nani kasema WHO na TBS ni Mungu..anything unnatural has effect..only Mungu alivyoviumba na tena kwa matumizi ya kiasi..so Coca na mengineyo hatari tu
 
Pia kama huna dawa ya madoa unaweza kutumia cocacola ama pepsi, au azam cola.Zinafaa sana kutakatisha nguo na kuzifanya kuwa nyeupe zaidi.
 
ukieka msumari kwenye coke itayeyuka baada ya siku sita so sishangai

kumbe matumbo yetu yamefungwa kwa bolt na nut na vitasa? Siungi mkono unyaji wa soda ila napinga hizi experiments za kijinga kuonyesha madhara ya soda...pamoja kulazimishwa kusoma biology o-level naona haitusaidii chochote!
 
Duh, nilipokua chuo nilipenda sana kumix coca au pepsi na valuer especially kipindi kile hali ya hewa kunako waleti na akaunti inapokua tete.

baada ya kumix unajisikia kama vile wewe ndiye uliyemfundisha physics Newton au unajisikia kama vile Lowassa atakupa cheki ya tumilioni mia hivi ila hujui ufanye shopping wapi!
 
hata diamond inatumika kukatia vioo,but wengine wanavaa shingoni,vidoleni n kwenye masikio bila kuwaletea madhara.so usiogope!

kumbuka tumboni au mwilini siyo sawa na hivyo vyuma au nuts[/QUOTE]
 
Hii ndio pointi ya msingi. Unadhani ingekuwa na madhara ya kufa mtu WHO na TBS wangewapa Coca ama Pepsi certificate ya usalama kwa matumizi ya binadamu? Think twice.

mkubwa najaribu kukubaliana nawe kwa WHO Isingekubali ilo, ........... lakini TBS! kwani ni mangapi? au mwenzetu sio mtz!!?????????????
 
Soda-carbonate au bicarbonate
Ukipaka chuma kuna chemical reaction ndio maana chuma kinasafishika,tumbo lako ni flesh halina chemical reaction na soda,kwahio kinachotokea kwa chuma hakiwezi kutokea ktk tumbo lako.
Mají yanasababisha kutu kwenye vyuma,wewe unakunywa mají je tumbo lako linapata kutu?
Nishasahau o-level chemistry najaribu tu
 
Back
Top Bottom