Coca-Cola Kwanza Ltd: Whats going on?

Coca Cola kwanza is not one of Tanzania's oldest companies as you think. Actually Coca Cola kwanza is very new in Tanzania. Its hardly 20 years old.

Bora umemjulisha, CCKL ilichukua jina kwa iliyokuwa Tanzania bottlers Ltd iliyokuwa ikimilikiwa na Manek. Mengi alitia fitna kwa Cocacola Africa kuwa kampuni ilikuwa haina uwezo wa kutimiliza patents za corporate agreements na kwa kuonesha mafanikio ya Bonite basi akawapora wale wahindi haki ya kutengeneza na kusambaza bidhaa za cocacola. Alijaribu pia kuingiza Dasan kwenye soko but wahindi wali-mfix ikadorora. Sina shaka baada ya mda mfupi atarudi kwenye biashara yake ya awali ya kungarisha viatu maana biashara zake zote zinafilisika.
 
Maandishi yako yanaonyesha dhahir kuwa na chembechembe nyingi za wivu na chuki dhidi ya huyo mzee.
Ukweli ni kwamba chuki ni ugonjwa mbaya sana ambao mwisho wa siku unaweza kukufuru kuwa mungu amekuonea kwa hali uliyokuwa nayo
 
Azam cola haina kiwango nimekunywa mara moja sikumaliza.

Kuna watu walikuwaa hawanywi soda hadi sikukuu amini nnikwambiacho, na hivyo hawaoni tofauti ya taste zaidi ya kuona tofauti ya bei.... watu wa aina hiyo ndio wengi kwa Tanzania ni kama 80% ya population ya Tz.

aina hii ya watu utawashawishi nini kuhusu kunywa coka than azam cola?
 
Mengi amejitoa cocakola kwanza ndio maana inafanya vibaya hadithi kama hiyo tulisikia NICOL na sasa huyohuyo anajipigia debe kwa nguvu apewe vitalu vya gesi kama kampuni ndogo kama cocakola kwanza ilimshinda ingawa alikuwa na share ndogo itakuwaje kwanye mradi unaohitaji mabilion ya $ Mengi aache usanii kwa kutumia vyombo vyake vya habari
 
Bora umemjulisha, CCKL ilichukua jina kwa iliyokuwa Tanzania bottlers Ltd iliyokuwa ikimilikiwa na Manek. Mengi alitia fitna kwa Cocacola Africa kuwa kampuni ilikuwa haina uwezo wa kutimiliza patents za corporate agreements na kwa kuonesha mafanikio ya Bonite basi akawapora wale wahindi haki ya kutengeneza na kusambaza bidhaa za cocacola. Alijaribu pia kuingiza Dasan kwenye soko but wahindi wali-mfix ikadorora. Sina shaka baada ya mda mfupi atarudi kwenye biashara yake ya awali ya kungarisha viatu maana biashara zake zote zinafilisika.

Mkuu mbona unaonekana kama mtu mwenye chuki binafsi dhidi ya Mengi?!

Swala la Dasani sidhani kama Mengi ndiye aliye introduce.

Ninavyokumbuka Coca cola kwanza ndiyo waliingiza dasani baada ya Mengi kuwakatalia kuwa distrbutors wa Kilimanjaro water Dar es Salaam.
 
NI kweli Mh Mengi sio mmiliki wa CCK alishajitoa zamani, kwa sasa anamiliki Bonite Bottlers Ltd ya mjini Moshi ambayo inafanya vizuri sana.
 
yaani mengi na biashara zake
ingekuwa marekani watu wangeshaandika vitabu best sellers

bodycare imekufa

ippmedia inakimbiwa na best journalist wake

na sasa hiyo cckl

usisahau tuhuma za kuifilisi nico

sijui.....

ndugu badilisha usemi wako na kuomba radhi cckl sio ya Mzee Mengi bali yakwake coka cola bonete bottlers
 
Back
Top Bottom