Inaonekana ulikuwa mdogo sana. Hiyo ilikuwa ni Live band ilikuwa ni raha sana. Ingawa wafanyakazi wa makampuni walikuwa wanalikwa, wakazi wa Buguruni walikuwa Wanazamia sanaaaa. Klab raha leo shoooooooooo&Hahaa... Mmenikumbusha mambo ya radio station moja tu. Hiki kipindi nakumbuka kilikuwa jumapili jioni. Ila nilikuwa naona kama wanapiga makelele tu,nahisi nilikuwa sikielewi.
Inaonekana ulikuwa mdogo sana. Hiyo ilikuwa ni Live band ilikuwa ni raha sana. Ingawa wafanyakazi wa makampuni walikuwa wanalikwa, wakazi wa Buguruni walikuwa Wanazamia sanaaaa. Klab raha leo shoooooooooo&
Nani anakumbuka hii k2? Na Eid hii mida hii RTD enzi hizo.. Wacha kabisaaaaa